WADAU WA KATA BWANJAI: MATOKEO YA MITIHANI YA BWANJAI SEKONDARI MMEYAONA?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,348
73,924
Nasikia kuna umoja wa maendeleo ya kata Bwanjai, hata juzi mlifanya mkutano (BWANJAI DAY) wa kuona namna ya kusaidia maendeleo ya Bwanjai. Nadhani pa kuanzia ni hapa shuleni! Diwani Phocus, tatizo liko wapi? Tuanzie hapo hata kabla ya kuinvest sana kwenye maendeleo ya vitu vingine (navyo ni muhimu).
Tatizo liko wapi?
1. Watoto hawajiwezi? (maana unawza kumpeleka Ng'ombe mtoni lkn akakataa kunywa maji)
2. Walimu? Taaluma yao haikidhi matakwa?
3. Mazingira ya kujifunzia? Madarasa, mabweni etc etc
4. Uongozi haukidhi haja?
5. etc etc.............................TATIZO LIKO WAPI?
Kwa mwendo huu wa FFFFFFFFFFFFFFFF, hata akina Prof Kilama/Kaijage/ Malini/Judge Rugazia RIP/Engineer Henery/ Advocate Nasimire / to mention one special man Maxence Mello wa JF and many many many other wasomi wazuri ambao sijawataja from Bwanjai etc mnaojivunia wasingelikuwepo.
 
Inawezekana watoto na jamii ya pale ndo haijilewi au wadau wanaosaidia hawajui tatizo lenyewe ni lipi
 
Back
Top Bottom