matokeo

  1. B

    JamiiForums Tanzania A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana, yawezekana yakavunja rekodi. NECTA yarudi kwenye misingi yake

    Habari wanajukwaa, A Level mwaka huu jiandaeni kwa matokeo ya kushangaza sana, Kwanza, kuna uwezekano heshima ya matokeo ACSEE kurudi kama zamani zile kwa sababu wanafunzi mmekuwa mkifaulishwa kwa michongo sana na siasa nyingi hali ambayo mama haitaki, hivyo mjiandae kisaikolojia aliyesoma na...
  2. JamiiForums Tanzania Kutotambua Matokeo ni Kutomtambua Rais, Serikali na Bunge. Rais Akiishaapishwa ni Rais! Tutaendelea kuruhusu hali hii Mpaka Lini?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye maswali fikirishi Swali la Leo ni Je wajua kutotambua matokeo ya uchaguzi wa rais, ni Kutomtambua rais, serikali na Bunge?. Rais akiisha apishwa ni rais!, umtambue, usimtambue, it doesn't...
  3. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaamini Serikali itawafukuza wabunge 19 na kuwaunga wao kugomea matokeo ya uchaguzi

    Mimi siwaelewi chadema kabisa na watanzania wanaoshabikia hili Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 CHADEMA walitangaza kutokubali matokeo na kuamua kususia kila kitu kilichotokana na uchaguzi huo kwa kufanya yafuatayo. 1. walitangaza kutomtambua raisi 2. Walimzuia mbunge wa nkasi kwenda bungeni 3...
  4. JamiiForums Tanzania Mawaziri wachapakazi hawakuondolewa sababu walikuwa wakimkwamisha Rais Samia

    Tulisikia kwa vinywa vyetu kuwa kuna baadhi ya mawaziri walikuwa na mpango wa kumkwamisha Rais Samia ili asifikie malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Hapa kwa haraka haraka tukapata hisia kuwa walikuwa na na nia ya kumzuia asitinge Ikulu kama mgombea wa CCM mwaka 2025. Ndipo tukasikia...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nchi inapokuwa na Waziri Mkuu mlalamikaji na mshangaaji bila kuchukua hatua zenye matokeo, shida iko wapi?

    Ninaona waziri mkuu akianika madudu ya serikali kama raia asie na mamlaka. Anakuwa mtu wa kusoma uovu kwa kushangaa na kulalalmika, nikisha hakuna kinachoendelea juu ya maovu hayo. Tatizo ni kwamba hana uwezo?, si kazi yake?, hana nia thabiti zaidi ya propanganda za kisiasa? AU genge la uharibu...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge 19 wa CHADEMA- Matokeo ya kughushi uchaguzi wa 2020

    Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote. Hata CCM wanalijua hilo. Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni. Kuanzia tume ya uchaguzi, wasimamizi hadi kura za mabegi za kughushi...
  7. JamiiForums Tanzania Njooni hapa tukubali matokeo na kufarijiana

    Kuna makundi ya Watu tunasakamwa sana huku kitaa mpaka tunakosa raha hapa Duniani yaani hatuna raha kabisa cha Ajabu kinachotugharimu ni Jinsi ambavyo tumeumbwa au Mungu mwenyewe ndio ameamua iwe hivyo yaani hatuna jinsi ya kusolve Masimango haya labda Mungu mwenyewe apende. Utasikia mara...
  8. JamiiForums Tanzania Tabiri nini matokeo ya Vita vya UKRAINE na Hatma ya dunia

    Kwa mtazamo wangu 1: Hakutakuwa na WW3 2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha. Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake. 3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Tume ya Ajira, tunaomba mtuwekee matokeo ya 'written interview' kwenye account zetu au tovuti yenu

    Tume ya ajira, tunaomba muwe mnaweka na matokeo ya written interview kwenye account zetu au website, kusudi mtu ajue amepataje na amekuwa wa ngapi na wamechaguliwa wangapi kwenye stage inayofuata. Uzuri wote wnaofanya mtihani kuna ID bila majina. sasa kwenye portal mnaweka "not selected" tu...
  10. JamiiForums Tanzania Kilimo cha ndizi kitakachokupa matokeo bora

    Tumezoea kupanda miche ya ndizi, unaweza kuinunua au kuomba kwa jirani. Lakini ndizi iliyokomaa na kuiva inaweza kukupa mbegu naipanda ndizi kwenye karai bovu lenye matobo ili maji yasituame, weka udongo wenye mbolea kwenye karai na uwe unamwagilia maji kila siku. Baada wiki mbili au tatu...
  11. JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi Ufaransa Vs Afrika

    1. Ufaransa wamepiga Kura Leo, matokeo Leo Leo. Na mpinzani kakubali kushindwa Leo Leo. 2. Afrika Sasa! Matokeo baada ya siku 14 na upinzani wanadai wameibiwa. **Tusubir kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake. Leo francophone kote Ni full shangwe
  12. JamiiForums Tanzania Alimsomesha mchumba na matokeo yake alipata kilio

    Walikutana Ben na Rose shuleni wakiwa wote wamefaulu darasa la saba. Licha ya uwanafunzi Ben alikua na kipaji cha kuimba na kupiga gitaa. Weekends alitumbuiza kwenye bar na pia alialikwa kwenye maharusi. Kwa kifupi wote Ben na Rose hawakutoka katika familia zenye uwezo. Mama yake Rose...
  13. JamiiForums Tanzania Kushusha tozo za sukari kuna matokeo gani kwenye mfumuko wa bei

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mwenye PhD zake za uchumi amekubali kuondoa tozo kwenye sukari kwa 10%. Ni jambo jema lakini naomba nimkumbushe yafuatayo. Sukari ina impat kwa bidhaa nyingine lakini impact kubwa na inayosafiri kwa haraka ni impact inayotokana na bei za mafuta...
  14. JamiiForums Tanzania Matokeo yangu yamekosewa NACTE, nimehangaika sijapata msaada

    Habari yenu katika ujenzi wa maisha yenu. Nimehitimu chuo 2020 stashahada ya uhandisi majengo katika chuo fulani cha serikali hapa nchini. Tatizo kubwa matokeo yangu yamekosewa katika mfumo wa NACTE na hii imekuwa ni kikwazo nisiweze kuendelea na masomo. JITIHADA NILIZOZIFANYA KWA SUALA HILO...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na Msimamo wa Tanzania kuhusu Urusi vs Ukraine; Ushauri wangu kukabili matokeo

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Wapendekeza matokeo ya Urais yapingwe Mahakamani

    WADAU wa siasa wametoa maoni kuhusu uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuridhia pendekezo la kikosi kazi cha kuratibu demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Miongoni mwa mambo hayo ni matokeo ya urais kupingwa mahakamani. Wadau hao ni Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ambacho...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupata matokeo bila Kibwana Shomali wakala kichwa kinapata moto

    Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani. Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado. Wakala wa mchezaji kupitia...
  18. JamiiForums Tanzania Roman empire ilivyoacha matokeo ya maisha yetu ya sasa

    Karne ya 1= kanisa la mitume, ikielezewa sana na kitabu cha Matendo ya mitume. Huku warumi wakitawala Karne ya 2-3= kanisa la mateso, himaya ya Roma ikilitesa kanisa Karne ya 4= mfalme wa Roma anakuwa Mkristo, Romans hawakukubali kupoteza kila kitu, wanaingiza ibada zao pia kama mishumaa...
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo mabaya yasababisha Dodoma Jiji kumfukuza kazi Kocha Mbwana Makata

    Klabu ya Dodoma Jiji ya jijini Dodoma imeachana na kocha wake mkuu, Mbwana Makata kuanzia leo Jumatano Februari 23, 2022. Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya mwendelezo mbaya wa matokeo ya timu hiyo katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Simle anaylsis: Matokeo ya mechi za nyumbani na ugenini za USGN ndio yataamua timu mbili za kufuzu kundi "D"

    Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika soka kama tulivyo Tanzania. Kwahiyo, timu zitazoifunga hii timu ya USGN nyumbani na ugenini, ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…