Urusi imepitisha sheria inayopiga marufuku matangazo na propaganda za aina yote yahusuyo ushoga na vitendo vinavyofanana na hivyo almaarufu kama LGBTQ.
Sijui kama nchi zetu hizi za kiafrika zitaweza kuwa na ubavu wa kuiga mfano mzuri wa urusi, maana mataifa ya magharibi hutishia vikwazo na...
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye.
Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele.
Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine.
Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo?
Ni wakati...
Hii haikubaliki hata kidogo na nawaomba wamiliki wenzangu wa siomu za mkononi tukatae kwa nguvu zote makampuni ya simu kutumia simu zetu kama bango lao la biashara!
Wanatujazia mameseji kibao wakitangaza biashara zao. Simu ninunue mimi halafu wewe uitumie kwa matangazo yako ya biashara bure...
Sasa hivi shujaa wetu Majaliwa apewe muda apige pesa na matangazo ili sasa Januari aende kupiga kwata, si vema kumuwahisha sasa hivi.
Hata hivyo, nina wasiwasi na wale watu wa majeshi huko anapoenda watampiga mizinga sana.
Yote kwa yote, ufanyike mpango namba zake za simu ziwekwe na chimbo...
Nchi hii kuna sheria ambazo hutungwa halafu huwa zipo tu kwenye makaratasi na mojawapo inaweza kuwa ni Microfinanc ACT ya Mwaka 2018 na kanuni zake.
Sheria hii, pamoja na mambo mengine, inapiga marufuku watu kufanya biashara ya kukopesha bila kusajaliwa na kuwa na leseni na inatoa adhabu kali...
Habari wakuu,
Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission.
Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct...
Moja kwa moja.
Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea.
Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
Rejea kichwa cha habari
Kama ww unafuatilia mambo ya blog utatambua kuna kuibukia au mfumuko mkubwa wa blogging Tanzani!!
Lakini zote au asilimia 90 ni za matangazo ya kazi!!
Swali la kujiuliza Je sababu ni nini wa kuwa na mfanano wa blog??
-Kwamba za matangazo ya kazi ni rahisi uandishi ( copy...
Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali
Baada ya...
Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
digital rights
dola
faini
google
kinyume na sheria
korea
korea kusini
kukusanya
kusini
kuuza
matangazo
meta
milioni
right to privacy
taarifa
taarifa binafsi
Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
Habari wana JF, kama kuna mtu anaweza kunitengenezea posters kwajili ya matangazo ya biashara yangu online plse nicheki kwa namba 0717217520 calls & whatsapp.
Vipi wakuu tunawezaje kudhibiti matangazo kwenye post za watu kwenye mitandao ya kijamii kiukweli matangazo yanakwaza Sana mtu una stress zako umechoka unafunguka post unakutana na mtu sijui utoto wa wapi anatangaza tangazo la kujiuza.
Hii sio sawa kwa msitakabali wa kizazi chetu.
Naumia Sana...
Nazungumza nawe Brigedia Jenerali Hassan Mabena, Mkuu wa Tawi la Utawala-Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), juma lililopita ulitangaza kuhusu mafuzo ya kujitolea ya JKT kwa vijana wa kitanzania. Ukawataka watanzania wazalendo wajitokeze na kujiunga na mafunzo hayo.
Vijana wenye sifa zitakiwazo...
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Habari na Utamaduni ya Shirikisho nchini humo imesema serikali inataka kulinda vipaji vya ndani na kukuza uchumi.
Kwa mujibu wa Wizara ya Habari, kuanzia sasa watangazaji, matangazo na bidhaa zote za masoko na mawasiliano nchini humo zinatakiwa kuwatumia...
Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya habari vya utangazaji ya Pakistan, PEMRA, imezipiga marufuku televisheni nchini humo kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano wa waziri mkuu wa zamani Imran Khan aliopanga kuufanya hii leo.
Marufuku hiyo ilitolewa jana jioni, ikiwa ni siku ambayo Khan...
Toka juzi tukipiga simu mnaweka matangazo then ndio muito wa simu unafuata, hatujapiga kusikia matangazo, what if napiga simu kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka?
Fanyeni utaratibu mzuri, tunawapenda ila mnakwaza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.