matangazo

  1. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

    Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities. Content and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be...
  2. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

    Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni. Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa...
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

    Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020. Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

    Amani iwe nanyi wadau! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa CHADEMA. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha...
  5. Matope

    JamiiForums Tanzania Kupewa MIC Makonda, Wasafi wamekata matangazo

    Hii inashangaza sana kweli Mhe. Makonda kupewa MIC kama mzungumzaji kwenye harusi ya Dada wa Diamond, jamaa wamekata matangazo Hii kitaalaam tunaitaje?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nani analipia gharama za urushwaji wa Matangazo ya Moja kwa Moja (LIVE) kwa Vyombo Binafsi vya Habari?

    Ndugu wanajukwaa salam, ama baada ya salam, niende moja kwa moja kwenye mada. Niliwahi kusikia kurusha matangazo ya LIVE kwa nusu ni shilingi 4 million kunako TV (Japo sina uhakika kuhusu hiyo bei - ila point ya msingi ni kurusha matangazo LIVE via TV kwa saa ni gharama). Sote tunafahamu vyobo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania JF DIGITAL SKILLS: Zuia matangazo katika video za YouTube kwa mbinu hii rahisi

    Mtandao wa YouTube umejizolea umaarufu kwa kuwa kituo na jukwaa kuu la taarifa na burudani kwa njia ya picha mjongeo (Videos) Aidha, kwa nyakati tofauti watumiaji wake wamekuwa wakikerwa na mlolongo wa matangazo kila wanapofuatilia ua kutazama video kupitia YouTube Mbinu rahisi ya kuzia...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa

    Mawaziri wote wa Fefha wa Nchi za Afrika Mashariki saa kumi Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa kwa kuzilinyanisha na kufanya analysis
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya vifo yatolewe na ndugu na hati ya kifo iambatanishwe wakati wa kuposti JamiiForums

    Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Stimulus Package kwa wasanii: napendekeza serikali ikae nao, iwape hela, waandae matangazo kuhusu corona,yaruke hewani,tusiwajali kwenye kampeni tu!

    Huo ndio ushauri wangu, wasanii, kwa makundi na aina ya sanaa zao, wapewe fedha waandae matangazo, kama ni TV, basi wanaweza kuwa hata kumi kwa tangazo, matangazo yakawa mengi,vituo vya redio na TV na magazeti, serikali ikadondosha kwa hata milioni 500-700 #stimulus package
  11. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

    Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima! Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kwanini Dstv wamejaza matangazo kwenye channels zote wakati tunalipia vifurushi?

    Huwa najiuliza sana, ni kwa nini DStv wanajaza sana matangazo kwenye channels zake zote, wakati kila mwezi tunalipia vifurushi vyao? \ Au tunalipia ili tuangalie matangazo?
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya matangazo ya kazi humu awamu hii na ile iliyopita

    Awamu iliyopita Mainjinia 30 wanahitajika Tanesco. Majina ya waalimu yanatoka lini? Wanaotaka tubadilishane mikoa tukutane hapa (baada ya kupangiwa ajira). Jamani nimechoka na hii kazi natamani nibadili licha ya mshahara mnono kwa sababu ya majungu. Umebadilisha kazi mara ngapi hadi sasa? Ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Blog za uhakika kwa ajili ya matangazo ya ajira

    Habari wadau. Nina swali kichwani bado sijalipatia jawabu, naombeni mchago wenu. Zipi ni blog 10 safi Tanzania ambazo zipo updated sana kila siku na zinatoa matangazo ya ajira ya uhakika?
  15. Chance Media

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji kutengenezewa matangazo ya aina mbalimbali

    Habari ndugu zangu, Mimi ni msanifu kwa lugha ya kiswahili lakini lugha ya mzungu ni Graphics Designer na kwakuwa nafanya aina zote za usanifu wa digital multimedia includes interactive, computer-based applications that allow people to communicate ideas and information with digital and print...
  16. mike2k

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani linakukera kwenye Redio za Tanzania?

    Mimi naanza na hawa Clouds Media Group Clouds FM mnazingua sana kwa jinsi mnavyoi promo hiyo show ya fiesta mnakera sana tangazo kila baada ya dakika nne. Hakuna cha maana mnazungumza ni fiesta tu. Yaani radio yenu haina maana yoyote ni issues za fiesta muda wote. Mnaboa sana. Njia pekee ya...
  17. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Customer Care mitandao ya simu mnatusikilizia matangazo nusu saa nzima

    Mna Mambo ya ajabu Sana. Yaani mtu akipiga simu atawekewa matangazo mpaka atajuta na kukimbia mwenyewe. Najiuliza lengo la mtu kiwapigia simu ninl kusikiliza matangazo au kuelezea hitaji lake. Coz wakati mwingine mtu anahitaji huduma ya haraka, huemda amekosea namba or something. Sasa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Tunatengeneza Websites na Android applications

    Tunatengeneza web applications (websites na web systems) na android applications kwa bei nafuu kabisa,kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane nasi kwa namba zifuatazo 0769729927 au 0652130344
  19. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania GUEST HOUSE INAUZWA BUGURUNI SOKONI

    Guest house inauzwa buguruni sokoni. Zipo 2, zote zinauzwa million 120. Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not. Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838 Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
  20. defashi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Matangazo ya Kazi

    Wapo watu wanaweka matangazo ya kazi. Watu wanafanya application na wanapewa hadi sehem na tarehe ya interview. Ila wakienda wanakutana na semina za Network Marketing. Me naona hii sio fair cos watu wanajiandaa kwa interview na nguo wanapasi then unaenda kuambiwa utafute watu watatu cjui blaa...
Back
Top Bottom