Hakuna kitu kinanikwaza Kama matangazo kwenye kwenye post

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Vipi wakuu tunawezaje kudhibiti matangazo kwenye post za watu kwenye mitandao ya kijamii kiukweli matangazo yanakwaza Sana mtu una stress zako umechoka unafunguka post unakutana na mtu sijui utoto wa wapi anatangaza tangazo la kujiuza.

Hii sio sawa kwa msitakabali wa kizazi chetu.

Naumia Sana nikimwangalia Mtoto wangu wa kike mwenye miaka 12 anayemaliza class seven halafu anaamini internet ni nzuri na anapenda kutumia Sana akija kugundua huu ujinga unafanyika huko sipati jibu itakuwaje.

Ky muda unamshikia simu kabisa akiomba ili asije kugundua mapema.

Kwakweli wanawake mnajizalilisha Sana kwenye hili hata Kama ni biashara hapana.
 
Elewa hili 90% ya wanatangaza kujiuza huko unakosema ni wanaume wanaotumia majina ya kike!.. I stand to be corrected
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom