1. Kwanini ulimwengu unaonekana umetengenezwa mahsusi kwaajili ya kuishi?
Constants za fizikia kama gravity, strong force, proton mass n.k. ziko sahihi mno.
Kwa nini kila kitu kiko "timing" ya kutosha kutuwezesha kuishi?
2. Iwapo ubongo ni kemikali tu, kwanini unafikiri unapaswa kuiamini akili...