maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila abanwa mbavu na Wajumbe CCM, wakumbusha ahadi ya ujenzi wa ukingo wa Mto Gide

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ubungo, wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wamehoji kwa sauti moja hatua za Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Profesa Kitila Mkumbo, kuhusu utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali ikiwamo ujenzi wa ukingo wa Mto Gide ambao...
  2. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Kitandula awa mkali baada ya kuulizwa maswali “magumu” na Wajumbe, adai wametumwa

    Mbunge wa Mkinga anayemaliza muda wake, Dastan Kitandula ameoneshwa kukerwa kuuliza maswali “chokonozi” aliyodai yamepangwa na washindani wake kisiasa. Kitandula ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii alionyesha kukerwa na kupaniki kuuliza maswali hayo wakati alipokuwa kwenye mkutano...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maswali 10 kuhusu maandiko ya Lucas Mwashambwa na hoja zake

    Wana Jamiiforums huyu Member mwenye kuitwa Lucas Mwashambwa amekuwa na maandiko yenye ushabiki usio na hoja, unaokusudia kusifia kwa lugha ya mihemko badala ya kutathmini uhalisia wa utawala wa Rais Samia kwa hoja na takwimu. Nimetumia muda mwingi kufuatilia maandiko yako ambayo yamenipelekea...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Anazindua kitu asichokua nacho uelewa wowote, Wameshindwa hata kumpa ABC, anajikuta anauliza maswali yasoendana na alichozindua!!

    Huenda angeambiwa, Asingeenda, angemtuma Naibu Waziri tu !!. Kilichozinduliwa ,katika Teknolojia ya Uranium, ni Uhuni Mtupu
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini idadi ya wapiga kura Tanzania 'inazua maswali'?

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imejikuta katikati ya mjadala baada ya kutangaza kuwa idadi ya wapiga kura katika daftari la kudumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imefikia milioni 37.6. Takwimu hizi zimezua maswali mazito kutoka kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati...
  6. Farolito

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

    Shalom wakuu, Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya; 1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult) Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii...
  7. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lini Wizara ya Kilimo itanunua Mahindi Mwaka wa 2025/26? NFRA hawajibu maswali yetu

    Nianze kwa kupongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kweli mnastahili pongezi kubwa. Mimi nina ombi moja, ninaomba nisaidieni kuuliza swali kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja na Wizara yake kuwa ni lini Serikali itakuwa na mpango wa kununua Mahindi kwa huu Mwaka wa 25/26...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Twende polepole

    Kaka umesema upo CCM tangu 2000. Hebu tueleze uchaguzi wa mwaka 2010 CCM ilitoa form ngapi za uraisi? Mwaka 2020 zilizalishwa form ngapi? Mbona hukuachia ngazi?. Lakini umesema mchakato wa katiba mpya "wahuni'' walivuruga maoni ya wananchi, wewe na walipanga pia kuhujumu uchaguzi mkuu, wewe na...
  10. RoadLofa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali tata kutoka kwa wanaume wenzangu

    Hivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote O-level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji hajambo? Na hafahamu na sijawahi kumwambia kama nimeoa na wala demu wangu hamfahamu maana ni miaka hatujaonana Swali kama ilo naona la kiwaki balaa...
  11. captain 21

    JamiiForums Tanzania Usahili wa Kuandika, Wizara ya Mambo ya Nje

    Mambo vipi wakuu!? Kwa yeyote ambae ameshawahi kufanya usahili wa kuandika Wizara ya Mambo ya Nje (Foreign Service Officer), maswali yao huwa yanatoka maeneo gani??
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Binadamu ana majibu ya maswali yote! Wachache wanaujua huu ukweli

    Ukiniuliza swali nikupe majibu, majibu nitakayokupa mimi ni yangu binafsi sio yako. Majibu yangu nitakayokupa yatatokana na experience yangu na sio yako. Wewe una experience yako, mimi nina experience yangu. Kama swali lako ni la ki proffesional na mimi ni proffesional basi majibu yangu...
  13. Five55

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kujiuzulu kwa Polepole na maswali 7 yanayofikirisha

    Na. Manase Visulo Nikiri kwamba taarifa za kujiuzulu kwa Balozi wetu nchini Cuba, Balozi Polepole sio jambo lililotarajiwa wala kufikiriwa na tulio wengi. Nikwasababu hiyo naomba kuteta nanyi kwa kusema mambo Saba (7 ) ikiwa sita ni ya kufikirisha kwa kuzingatia historia ya Balozi Polepole...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maswali fikirishi kuhusu bank na wateja

    Ipi ni jibu sahihi, Bank zinatusaidia sisi (wateja) tunaoweka hela kwao, au sisi wateja ndio tunaowasaidia bank waendelee kuwa kwenye ajira na wao kuendelea kuwa na maisha mazuri? Pia kati ya mteja (anayeweka hela bank) na bank (anayetunza hela za mteja na kujinufaisha) ni yupi anayepata faida...
  15. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Maswali mtihani ya baadhi ya Wananchi

    Swali la baadhi ya wananchi; Mhe. Waziri GwajimaD, hivi hawa wasaidizi wako hawana msaada hadi useme sisi tukuletee matatizo ya nchi nzima wewe? JIBU: wasaidizi wangu wana msaada mkubwa na wanafanya kazi kubwa sana na kilichotakiwa ni iwapo hamjapata huduma kwao basi, mje rufaa ya malalamiko...
  16. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Kuahurishwa kuvunjwa kwa bunge 2025, matokeo yake ni yes reforms,yes election. Maswali 5 ya kujiuliza!

    WIki iliyopita nilileta mjadala humu kuhusu kama CXM inaweza kwenda bila Chadema. Nilifuatilia ule mjadala wa wadau na jibu lilikuwa wazi kwamba "uchaguzi bila Chadema hauwezekani" Huo ni ukweli japo mchungu. UCHAGUZI huo hautapata kibali mbele ya macho ya dunia. Mbaya zaidi nikapata taarifa...
  17. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania 📘Somo la 7: Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza

    🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? 💭💰 Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna mambo maswali muhimu inabidi ujiulize. ❓Je...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  19. Montania

    JamiiForums Tanzania Tutorial Assistant in Accounting - Msaada Mwenye uelewa na maswali yanavyoulizwa kwenye Written & Oral interview

    Msaada wakuu, mwenye uelewa wa maswali ya Interview ya Tutorial Assistant in Accounting Written na Oral huwa wanauliza nini naomba kujuzwa. Natanguliza Shukran 🙏
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara zinajibu maswali ya Wabunge katika Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 41, leo Juni 06, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 06, 2025, Serikali itajibu ni lini itawasilisha muswada wa sheria kuhusu changomoto za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi ili ziwe kwa mujibu wa sheria. Wakati huo huo...
Back
Top Bottom