Maswali Usaili Mkaguzi Daraja la II (NAOT)

Maswali Usaili Mkaguzi Daraja la II (NAOT)

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
795
Reaction score
704
Maswali yanayoulizwa katika usaili huu yamejikita maeneo manne ambayo ni: Uelewa wa mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii, Maswali kuhusu taaluma yako, Maswali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Maswali kuhusu kompyuta, internet na akili mnemba na maswali kuhusu hesabu.

Japo lolote linaweza kutokea, siyo rahisi mtihani kutoka nje ya hapo. unapojiandaa na mtihani, basi zingatia maeneo hayo.

Kuona Mfano wa Maswali Yanayotoka, Fungua Hapa.
 
Back
Top Bottom