maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maswali fikirishi juu ya uuzwaji wa dhahabu yetu

    Je dalali ni nani? Je atawekwa wazi? Atakula bei gani? Je kiwango atakacholipwa kitawekwa hadharani? Nani katoa connection? Atakula bei gani? Je itauzwa kwa bei ya soko? Je hakutakuwa na michezo ya upigaji? Kwenye bei, kwenye ujazo, kwenye idadi kwenye gharama za mauzo? Hili ni dili la...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Msiba wa dada mkwe unaibua maswali mengi yanayohitaji majibu

    Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu. Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake? Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...
  3. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Maswali tata wakati wa maandamano

    maswali.... 1-Miji mingi imekuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani tena katikati mjini. je wakati wa maandamano waliamia ktk makazi yapi mbali na mitaroni nk.? 2-kwa Mwanza na Dar es salaam nimewai ona kundi la mbuzi wakizurula wenyewe humo mjini pasipo kushambuliwa na binadamu. je kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili Tume ya Madini

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie. Natanguliza shukrani.
  5. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Nina maswali kadhaa hapa

    1. Kwanini ulimwengu unaonekana umetengenezwa mahsusi kwaajili ya kuishi? Constants za fizikia kama gravity, strong force, proton mass n.k. ziko sahihi mno. Kwa nini kila kitu kiko "timing" ya kutosha kutuwezesha kuishi? 2. Iwapo ubongo ni kemikali tu, kwanini unafikiri unapaswa kuiamini akili...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Padri awabana maswali mazito wanandoa katika kati ya ibada. Ukisikia kukabia juu ndio huku

    Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi jamaana akajiuma lakini akasema ni watano, Naye bi harusi naye akasema watano. Hii nimeipenda sana...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Israel imepanga kuifundisha ChatGPT kuwa upande wake zaidi (Pro-Israel) inapojibu maswali

    Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na kusimamia “mifumo ya AI” ili iwe rafiki zaidi kwa ajenda hiyo. Serikali ya Israel imeajiri kampuni mpya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Habari, Leo tujifunze kitu hapa. Sehemu ya majibizano ya kujenga uelewa wa biashara ya spea za pikipiki kwa aliyetutafuta kwaajili ya consultation!
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

    Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshamkuta katumika tayari ni mzoefu, hayo maswali ni wangapi wamepita unataka uwape ajira ?

  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Samia kwanini unakwepa haya maswali?

    …………
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kama Mama hahusiki na kutoa amri za mauaji Kuna maswali yangu hapa

    Kama Mama hahusiki na kutoa amri kwanini baada ya kuzima internet haikurusiwa kurecord matukio kama nia ni njema Nini walikuwa wanaficha? La pili, kwanini kulikuwa na order ya kuzuiwa watu kuchukua maiti ya wapendwa wao na hili lilikuwa linafanyika nchi nzima na polisi
  13. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kutekwa kwa Hamphrey Polepole, kuna maswali yanakosa majibu kwangu

    Wakuu regards kwenu, Wote tonajua jinsi ndugu Polepole alivyo jiweka hatarini kuanzia kujiuzuru mpaka kuibua maovu mengi ya ndani ya serikali. Ni dhairi shairi alijua hatari kubwa iliyomzunguka ukizingatia nyakati tulipo utekaji na mauaji yameongezeka sana sana i.e ni juzi tu mzee Ally Kibao...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo) Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku lakini unakutana na changamoto ndogo ndogo ambazo hujui pa kuanzia. Na mbaya zaidi, huwezi kuuliza kwa...
  15. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza kwenye masoko ya fedha na mtaji

    MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. 🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania RC Iringa: Kuna maafisa wanafokea wananchi, kama huna majibu ya maswali aliyokuuliza mwananchi usimfokee

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonya na kukemea tabia ya Watumishi na maafisa wa Serikali kuwafokea na kuwatokea kauli mbaya Wananchi pindi wanapohitaji huduma, huku akisema kuwa kufanya hivyo ni utovu wa Nidhamu na kwenda kinyume cha Misingi, taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC yangu Ahmed Ally tafadhali popote pale ulipo nakuomba unijibu haya Maswali yangu....

    1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki? 2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa yoyote ya Matokeo ya Mechi za Pre Season huko Misri katika Page ya Simba SC ili kutowashtua...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hiki kinachoendelea anachofanya Trump kwa Putin ni dharau ya wazi wazi, Hebu jionee mwenyewe

    Sio kwamba Trump amefanya haya kumtisha Putin moja kwa moja, haya ni maonyesho ya kimafumbo ya nguvu, ni sehemu ya mbinu za kuonesha ubabe katika ulimwengu wa siasa za kimataifa (geopolitics). 🙌🙌 1. Salamu ya Trump kwa Putin haikuwa tu ya kawaida, ilikuwa na ujumbe wa mamlaka. Trump aliweza...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara

    Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara 1. Leseni ya biashara ni nini? Leseni ya biashara ni kibali cha kufanya biashara kinachotolewa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya Biashara Na.25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake. 2. Ni makundi gani ya leseni ya biashara yapo? Kuna...
  20. FYATU

    JamiiForums Tanzania Hivi tunajisikiaje kuishi kwenye ulimwengu ambako majibu ya maswali ya msingi karibia yote majibu anayo jirani?.We upo tu.

    Kuna wakati nawaza sana mpaka nachoka kuhusu nafasi yangu mimi Mweusi hapa ulimwenguni. Huwa najaribu kutengeneza picha kuwa siku moja Mwenye enzi Mungu amekuja na kuitisha kikao,na kati ya maswali laki moja atakayouliza maswali elfu tisini na tisa mia tisa tisini na tisa yatajibiwa na kutolewa...
Back
Top Bottom