Mfano wa Maswali ya Usaili Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II Record Management Assistant II

Mfano wa Maswali ya Usaili Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II Record Management Assistant II

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
791
Reaction score
671
Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza kufanya mitihani hii.

Katika mitihani hii, chochote kinaweza kuulizwa hata kile ambacho hujasomea. Hata hivyo, yapo mambo ya lazima kutoka, mambo hayo ni kama maswali kuhusu taaluma yako. swali linaweza kutoka kama hivi:

In the 1950s, when computers were first used in business, what was the primary emphasis regarding records management?

A) Developing digital indexing software to compress files.

B) Getting the records properly placed in the files.

C) Ensuring secure destruction of electronic documents within one year.

D) Establishing automated networks to transfer files across agencies.

Correct Answer: B

Pia, unaweza kukutana na maswali yanayopima ujuzi wa kompyuta kama swali hili:

Data going into the computer is called?

(A) Output (B) Algorithm

(C) Input (D) Calculations

Answer: C

Vilevile upo uwezekano mkubwa wa kukutana na maswali yanayopima ujuzi wa hesabu nyepesi, huu ni mfano wa swali hilo:

An archive facility stores historical ledgers on microfilm rolls. Each roll can hold images of exactly 2,000 pages of text. If an archivist needs to back up 14,000 pages of text, how many microfilm rolls will be required?

A) 5

B) 6

C) 7

D) 8

Correct Answer: C
Tena yapo maswali yanayopima maarifa yako katika akili mnemba, tazama mfano huu:

An area in computer science that produces intelligent systems that mimics the ways and thinking of humans

A. Artificial Intelligence

B. Cognitive Science

C. Robotics

D. Neuro Science

Answer: A

Ipo Mifano ya Maswali 140 Itakayokusaidia Katika Maandalizi Yako ya Usaili, Fungua Hapa Kusoma.
 
Back
Top Bottom