Cheology JF-Expert Member Joined Jun 25, 2022 Posts 384 Reaction score 606 Jul 11, 2022 #1 Imergine unakuwa na principal ya pass ya physics au chemistry unaenda kusoma economics what's a joke Wanasayansi🙏🤗🤝💪
Imergine unakuwa na principal ya pass ya physics au chemistry unaenda kusoma economics what's a joke Wanasayansi🙏🤗🤝💪
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,263 Reaction score 12,197 Jul 11, 2022 #2 Cheology said: View attachment 2286820Imergine unakuwa na principal ya pass ya physics au chemistry unaenda kusoma economics what's a joke Wanasayansi🙏🤗🤝💪 Click to expand... Sio joke, anayesoma masomo ya sayansi ni mwepesi wa kuelewa.
Cheology said: View attachment 2286820Imergine unakuwa na principal ya pass ya physics au chemistry unaenda kusoma economics what's a joke Wanasayansi🙏🤗🤝💪 Click to expand... Sio joke, anayesoma masomo ya sayansi ni mwepesi wa kuelewa.
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,263 Reaction score 25,540 Jul 11, 2022 #3 Uelewa wako ni mdogo sana Hata economics ni social science umekariri vibaya sana.
Emmanuel180 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2019 Posts 326 Reaction score 627 Jul 11, 2022 #4 Achana na sayansi yaaan mimi leo comb ya arts yoyote ile naizabatua maana akili niliyotumia kuifikiria physics nishindwe kusoma uchumi? Unashangaa hapo kipind nasoma advance same boys high school Kuna jamaa alisoma HKL sahv ni NURSE mwenye degree Marekan Kule hawaangaliii combination wanaangalia uwezo wako kama huna uwezo simply utafeli tuuu na hapo ndio utajitathmin mwenyewe
Achana na sayansi yaaan mimi leo comb ya arts yoyote ile naizabatua maana akili niliyotumia kuifikiria physics nishindwe kusoma uchumi? Unashangaa hapo kipind nasoma advance same boys high school Kuna jamaa alisoma HKL sahv ni NURSE mwenye degree Marekan Kule hawaangaliii combination wanaangalia uwezo wako kama huna uwezo simply utafeli tuuu na hapo ndio utajitathmin mwenyewe