maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Kwenye mambo yanayohusu maslahi ya Wanyonge ni ngumu Sana kuwasikia Wapinzani

    Ukitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka. Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri walionyakua fedha za wanyonge Mbowe aliibuka kila kukicha kuwatetea "wafanyabiashara" wakubwa ambao wengi...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini sana na watu kama Dkt. Diallo. Ni watu wa maslahi zaidi

    Inawezekana kwa kuwa tuna ugomvi na chuki na Magufuli kila ambaye atakuja msema vibaya tutamwona ni shujaa. Lakini tujiulize "Dr. Diallo alikwii?" Je Dr. Diallo kweli ana moral authority ya kumsema vibaya Magufuli? Huyu Diallo ukiangalia anacholalamika si kwamba watanzania wamefanyiwa hivi au...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tulikueleza mapema hawa CHADEMA sio wa kuwalegezea maana ni waganga njaa wasiojali maslahi ya taifa. Sasa mapema umeona madhara yao

    Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi. Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa. Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kibatala: Wanaopinga Katiba Mpya wana Maslahi Binafsi

    Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya. "Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo. Zaidi sana anasema Kibatala...
  5. Memento

    JamiiForums Tanzania Nimeamini CCM huwa kitu kimoja kwenye maslahi yao binafsi

    Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu. Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati ya Mataga(CCM ya mwendazake) na CCM asilia(ile ccm ya mafisi) , naiita CCM ya mafisi maana hata...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Sakata la maslahi ya Wabunge na hekaya ya Hilda Newton

    Habari wanabodi, Kumekuwa na trend ya muda kuhusu sakata lililoibuliwa na Mh Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe kuwa maslahi yao ni madogo kuliko inavyodhaniwa. Katika kuutanabaisha huu mjadala ulioleta hasira toka kwa wapiga kura. Nimekutana na kasimulizi toka kwa Hilda Newton juu ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM onyesheni hasira zenu kwa mwenyekiti wenu kwa nini ateue waliofata teuzi na maslahi awaacheni nyinyi

    Nyie vijana wa CCM, mimi nawaelewa kabisa hasira yenu. Nyie mmepambana kukitetea chama, wakati hawa akina Lijualikali, Nassari, Mashinji wakipambana kuwatoa madarakani. Waliwaita majina yote yakiwemo "vijana wasiojielewa", "waimba mapambio", na majina kibao ya kejeli. Lakini leo hii wanahama...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...
  9. 2019

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2021 ni ya matajiri tu. Wananchi wa kipato cha kawaida jipozeni kwenye kubet tu,haina maslahi kwenu

    Alieona sehemu mwananchi wa kawaida kuguswa na bajeti ya mwaka 2021 alete hapa na sisi tuone. Boda boda kupunguziwa adhabu toka 30k mpaka 10k, kumbuka wenye pikipiki wengi ni mabosi,vijana wanapeleka hesabu tu,hapo kijana kafaidika nini? Sehemu pekee yenye watu wa hali zote ni kubet. Waziri...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni maslahi ya kada nyingine pia, si kila kitu Polisi tu. Kuna Walimu, Madaktari nk

    Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu. Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu. Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wakati China ikijitahidi kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inadhuru maslahi ya nchi nyingine ili kujiendeleza

    Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limetoa tahariri ikisema, wakati China inapohimiza ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inanyakua nafasi ya maendeleo ya nchi nyingine ili kujiendeleza zaidi. Hivi karibuni, Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alihudhuria...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

    Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo. Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya. Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania

    Ushirikiano na Kenya usiangalie kingine ila maslahi ya Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan ameitembelea Kenya katika ziara inayoelezwa kuwa imefungua ukurasa mpya wa mtangamano unaoashiria kuimarisha udugu na ujirani baina ya mataifa hayo. Akiwa Nairobi anahutubia wafanyabiashara na wabunge wa...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

    Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake. Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafisadi...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TAA hakikuwa chama cha kushughulika na maslahi ya wafanyakazi waafrika wa Tanganyika

    TAA HAKIKUWA CHAMA CHA KUSHUGHULIKA NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI WAAFRIKA WA TANGANYIKA Abdul Sykes alikuwa na fikra ya kuunda chama cha siasa toka yuko Burma wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia (1939 – 1945) na alipoingia katika uongozi wa TAA mwaka wa 1950 na kuwa mjumbe katika TAA Political...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hakika anajua kuwafuta machozi wanaCCM. Timu ufipa maslahi mpoo...

    Kuanzia siku Rais Samia alipopewa uenyekiti kwa kishindo ndio siku ambayo wanaCCM waliona hakuna kama mama , ameahidi vijana na wazee maslahi yaliyo bora zaidi hivyo naona jinsi timu ufipa maslahi walivyonuna...Hakika biashara ya kujiuza imekufa kifo cha kawaida
  17. J

    JamiiForums Tanzania Maslahi bora, Mishahara juu, Kazi Iendelee mishahara haijapanda kwa miaka 6!

    Hii kauli mbiu ni kama imebuniwa kumsuta mwendazake. Kwa kweli mimi siyo sukuma gang lakini kaulimbiu hii imekaa kitata zaidi na siyo kisayansi. Kazi Iendelee!
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Sisi mpinzani wetu siyo vyama vya siasa ni changamoto za Watanzania

    “Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
  19. winnerian

    JamiiForums Tanzania Endapo Serikali itaacha kutumia mabavu kukusanya kodi, wafanyabiashara wapo tayari kulipa kodi bila kudanganya na kofoji "documents"?

    Wote ni mashahidi kwa namna ambavyo watanzania wengi ni wagumu kufuata utaratibu pamoja na sharia halali zilizowekwa. Wengi wetu tunapenda sana kupata mali kirahisi na kwa njia ya udanganyifu ama rushwa. Sasa je, serikali ikaamua kutumia upole na njia laini kukusanya kodi Watanzania wangapi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021 kurejesha furaha ya watumishi na wahitimu? Rais Samia ni tumaini jipya

    Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao. Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais: Mishahara kupanda Kupanda madaraja Kupanda vyeo...
Back
Top Bottom