masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania haijawahi kutenga bajeti ya TZS 985Bl kwa ajili ya Elimu wala kuisamehe HESLB TZS 1.1 Trl ni Rais Samia tu 2025

    KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Masikini anaamini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati!

    Kuna Hii Mentality kwenye Jamii, kwamba Mwanaume Masikini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati sanaaa, kwamba anapomtongoza mwanamke, Eti wewe Mwanamke unapaswa kumkubalia na kumpenda tu sababu ana Penzi la dhati . Mwanaume Masikini akiachwa utasikia "Sawa umeniachia tu kisa Sina Hela, nitapata tuuu n...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Rais Samia angeiongoza Tanzania Masikini vizuri kuliko Magufuli

    Salaam Wakuu, Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli? Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu. Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi...
  4. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Amkeni Watanzania, nchi yetu siyo masikini; ni kikundi cha watu wachache kinaitafuna

    Acheni kupumbazwa nakauli za CCM kuwa Tanzania ni maskini lipo kundi dogo ndani ya CCM linaitafuna hii nchi kwa kupeana vyeo mbalimbali katika maeneo mbalimbali. Nchi yetu siyo maskini bali kundi la watu wachache ndani ya CCM ndiyo majizi makubwa yanayitafuna fedha za umma na kuingia mikataba...
  5. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wanafiki na wabaguzi hapa nchini kama masikini

    Yaani hawa watu sijui wakoje kipindi huna hela au huna issue ya kufanya hata siku moja huwezi kuona kuona simu yake akikutafuta mzungumze mpeane mawazo jinsi ya kutoka kimaisha hata ukimtafuta wewe unampa idea zako tufanyeje tutoboe maisha anakuona kama unajipendekeza kwake alafu hata ukiwa una...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akiwekewa mkojo kwenye bia anazima?

    Kwa nini mtu akichanganyiwa mkojo kwenye bia anazima?
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

    Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake kutokana na hali ya umasikini wake na familia yake. Rafiki wa karibu wa kijana huyo amesema...
  8. 3ZOV

    JamiiForums Tanzania Masikini! Ditram Nchimbi

    Hali ya mchezaji wa zamani wa yanga kipaji kimekufa? Nimeikuta mahali wengi wanasema amekuwa boda boda
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Huyu binti atanifanya niwe masikini

    Nimetembelewa na mdada mrembo (pisi kali kweli), kwa sasa anakaribia wiki kukaa hapa kwangu. Anategemea by jumapili ijayo aweze kuondoka. Tangu amefika kwangu, hela imekuwa haitulii. Kila siku hela inatoka tu, na mbaya zaidi anaujauzito wangu unaokaribia mwezi. Leo atakuambia, naomba hela ya...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  11. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wenye pesa wakiwa na shida huwa kimbilio lao kwa masikini na kuwasumbua?

    Kuna vitu huwa najiuliza watu wengi wakiwa na pesa hujitenga sana na watu masikini tena hawa masikini hata wakiwatafutaga huwa simu zao hazipokelewi lakini sasa inapotokea watu wenye pesa wana shida basi kimbilio lao la kwanza ni kwa watu masikini. Yaani unashanga mtu kipindi ana pesa alikuwa...
  12. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuondoka kwenye umasikini, waepuke masikini kama ukoma

    Rafiki yangu mpendwa, Hivi unajua ya kwamba umasikini huwa unaambukizwa kama magonjwa yanayoambukizwa? Ndiyo, hiyo ni kweli kabisa, pale unapokaa na masikini, wanakusababisha uendelee kubaki kwenye umasikini. Huenda kwa kusoma sentensi hizo chache umejisikia vibaya, umenichukulia mbaguzi na...
  13. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tofauti 17 kati ya matajiri na masikini

    Rafiki yangu mpendwa, Kitu ambacho watu wengi huwa hawajui ni kwamba utajiri au umasikini ni matokeo. Na kisababishi cha matokeo hayo huwa ni tabia ambazo mtu anakuwa nazo. Ninachomaanisha ni kwamba hakuna mtu anayezaliwa tajiri au masikini. Bali kila mtu hutengeneza utajiri au umasikini...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Basic salary: 940,000 ...... Michango/makato yake Chakuhawata contribution 5000 PSSSF 47,000 PAYE 94,200 Nmb bank loan 42,870,300 (451,266) NHIF fund employees 28,200 ...... NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiandaa pale mwenza wako apatapo Mimba Kwa Vijana Masikini; ili Kupunguza Ugumu siku ya kujifungua na uzazi!

    JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10 Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
  16. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

    Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo. Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
  17. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

    Familia yetu yote hakuna mwenye unafuu wa kiuchumi. Nikaangazia macho ndugu wa baba na mama, na wao wote ni masikini sana. Nikafuatilia historia ya mababu na wao walikuwa mafukara kabisa. Nina shahada ya kwanza ila ninakaribia kumaliza mwaka tangu nimalize chuo lakini sijawahi kuifanyia kazi...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alituhubiria kwamba Tanzania ni ya masikini na wanyonge,lakini alishuhudia Makonda, Sabaya wakipata ubilionea kupitia Utumishi wa umma

    Wanasiasa usiwaamini Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania sio masikini

    Magari aina ya V8 yapo kila taasisi ya serikali 1. Wakuu wa taasisi zote na wasaidizi wao V8 2. Wakuu wa vyuo hadi wakuu wa idara ndani ya vyuo V8 3. Wakurugenzi wa halmashauri V8 4. Hospital za mkoa na wilaya V8 5. Wakuu wa wilaya V8 6. Wakuu wa mikoa V8 Hadi taasisi ya nyuki na bodi ya...
  20. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasomi wengi ni masikini tena waliopo sekta za umma

    Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo ukiangalia ni vitu vya kawaida sana yani hata hakuna maajabu wanauofanya kama wenzetu ukichukulia...
Back
Top Bottom