masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. justin mwanshinga

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
  2. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini matajiri wanaendelea kuwa matajiri na masikini kuzidi kuwa masikini?

    Rafiki yangu mpendwa, Kilio kikubwa cha watu kwa sasa ni pengo kati ya matajiri na masikini kuzidi kuwa kubwa. Matajiri wanazidi kuwa matajiri huku masikini wakizidi kuwa masikini. Ni hali ambayo imezua taharuki kubwa hata kwenye nchi zilizoendelea na zenye utajiri mkubwa kama Marekani...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa masikini inatokea lakini kufa masikini ni chaguo

  4. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

    Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali. Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa...
Back
Top Bottom