CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

Action and Reaction

JF-Expert Member
Oct 16, 2021
1,355
1,411
Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo.

Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board wafanye nini, kilichobaki ni kutekekeza tu.

Yaani kwa hapo RUSHWA imechezwa sana kwenye mikopo...
Watoto wa matajiri wanapata mikopo 100% kuliko watoto wasiojiweza.

Hii sisawa Japokuwa sisi wote ni Watanzania!

Screenshot_20220414-072329.png
 
CAG ametumbua jipu. Wanafunzi elimu ya juu wanaotoka familia maskini wananyanyaswa na kutaabika. Bodi ya mikopo ni rushwa tupu. Undugu mtupu,ubabe usiopimika.
Hata hao watumishi wa bodi baadhi wameingia kimchongo. Asiyeamini aende akamuone huyo PS wa bodi pale DSM. Yani nikatoto kamejaa kiburi,kejeli na hajawahi kufika chuo kikuu yule. Yule tu nikielelezo tosha kwa bodi kwamba rushwa imeanzia ndani mwao.

Watoto waliofiwa na wazazi wanapewa ada asilimia 12 kwamfano,hawapewi hela ya field ikiwa wapo maisha safi wanaosoma kozi zinazofanana na hao maskini lakini wanapewa ada asilimia 100 na hela ya field juu

Nilishaandika sana,mkurugenzi wa bodi kazi ishamshinda rushwa imetamalaki ofisini mwake
 
Huyu mama sikio la kufa....
 
Jiwe alipambana kupunguza washenzi kwenye wizi nchi ilitulia kidogo wanyonge mkapumua ila waliobinywa kende wakaendelea na propoganda zao za kisheitwani!

Magufuli will remain one of the best President to happen in Tanzania

Awamu ya Dikteta Jiwe report ya CAG iliweka wazi kina Kigwangala walivyoiba pesa za umma, je kuna hatua zozote za kisheria walichukuliwa??
 
Back
Top Bottom