Utafiti: Masikini wengi hawana furaha na ndoa/mahusiano yao

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,170
Utafiti mdogo ndoa nyingi au mahusiano mengi ya watu maskini kiukweli ni bora liende. Kuishi vizuri na mwenzio ni ufunguo wa mafanikio katika uhusiano/ndoa yenu. Ambao hamjaingia katika ndoa ni muda wenu wa kumjua vizuri mwenzio nje na ndani usimuoe kisa shape au sura yake utajuta kiukweli ndoa ni zaidi ya hayo.

Kufanikiwa ni rahisi sana katika chochote unachofanya kikubwa tu maelewano yawepo kati yenu. Msikilizane naamini hata Mungu anawafungulieni. Pili mpate mwanamke anaejitambua na kujielewa, Daima simama na hili MWANAUME YEYOTE KATIBU WAKE NI MWANAMKE.

MWANAUME ANAENDA KARIAKOO KICHWANI TU KIWILIWILI KIPO NYUMBANI,

Maana yake kila jambo msimamizi mkuu ni mwanamke
Mwanaume ni kiongozi na msimamizi katika familia
Mtendaji ni mwanamke NDOA NI PARADISO NDOGO UKIOA MWANAMKE SAHIHI
 
Utafiti mdogo ndoa nyingi au mahusiano mengi ya watu maskini kiukweli ni bora liende,
Kuishi vizuri na mwenzio ni ufunguo wa mafanikio katika uhusiano/ndoa yenu.
Ambao hamjaingia katika ndoa ni muda wenu wa kumjua vizuri mwenzio nje na ndani usimuoe kisa shape au sura yake utajuta kiukweli ndoa ni zaidi
Mbona yaliyomo hayana uhusiano na kichwa cha habari au hio ni introduction uzi unaendelea
 
Hebu weka tafsiri yako ya 'watu masikini', halafu tuendelee na kudiskasi uzi...
Mkuu hapo umeelewa neno maskini tu

Maskini ni yule ambaye hawezi kutimiza mahitaji muhimu kwa wakati!

Ni kundi kubwa la wengi na ndoa ikisumbua tu unadondokea kwenye ufukara hapo ndipo kwenye red
 
Kwa tafsiri ya uliyoandika hapa mkuu ni kuwa

Mwanamke ni chanzo Cha umaskini kwenye ndoa/mahusiano
 
Jeff Bezos na Bill gates matajiri bora kabisa kidunia wanasemaje kuhusu talaka za wake zao, au nao walikuwa hawaenjoy?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Rejea ndoa zao mkuu pia nikushauri kama umeipitia life style ya Elon Musk au Warren Buffet utajua mchango wa mke upoje

Kiufupi utatoboa ukiwa umeukubali udhaifu wa mwenzio na usimame mwenyewe
 
Najaribu kuitafakari heading ya Uzi wako, kisha niiunganishe na content yako najikuta nmekwama kabisa mkuu
 
Utafiti huu ulifanywa na nani na lini isije ikawa ni outdated, na takwimu zikowapi sasa basi hata reference. kama hana hivyo mtoa mada hii ni blablaa
 
Utafiti huu ulifanywa na nani na lini isije ikawa ni outdated, na takwimu zikowapi sasa basi hata reference. kama hana hivyo mtoa mada hii ni blablaa
mimi kama mimi naamini ndoa za maskini wengi zina furaha kuliko za matajiri

watu ni wanafiki sana wanajifanya wana raha lakini kiuhalisia hakuna kitu kama hicho
 
mimi kama mimi naamini ndoa za maskini wengi zina furaha kuliko za matajiri

watu ni wanafiki sana wanajifanya wana raha lakini kiuhalisia hakuna kitu kama hicho
naungana na wew


matajiri wanaishi mmaisha ya fasion show kwamba jamii isimcheke pamoja na hela zake kaachika so hutumia gharama nyingi kuonesha watu show of watu ila ndani kila mtu analala kitanda chake huku na silaha pembeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom