mashtaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kenya yafuta Mashtaka Dhidi ya Najib Balala

    Mahakama ya malindi imemuruhusu Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma DPP) kuondoa kesi ilyokuwa inaendelea inayohusisha kiasi cha cha billion ksh 8.5 za chuo cha Utalii dhidi ya aliyekuwa waziri wa utalii kenya Najib Balaa na wengine 14. Kesi ya ufisadi ya aliyekuwa Waziri wa Utalii Kenya Najib...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Abdul kortini kwa mashtaka ya kubaka na kulawiti wanafunzi watano

    Mkazi wa Mtaa wa Kyamaizi, Kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba, Abdul Suleiman (30), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Bukoba akikabiliwa na kesi mbili za kuwabaka na kuwalawiti wanafunzi watano wa shule za msingi. Kesi hizo zenye jumla ya mashtaka saba, zimesomwa jana Jumatano Agosti 14...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pastor Mackenzie akana Mashtaka ya Mauaji ya Wafuasi zaidi ya 400 Shakahola

    Kiongozi wa dhehebu, Paul Mackenzie anayekabiliwa na mashtaka ya kuhamasisha wafuasi wake zaidi ya 400 kujinyima chakula hadi kufa amekana mashtaka ya mauaji ya bila kukusudia Agosti 12, 2024 Mackenzie alikamatwa Aprili 2023 baada ya miili 429 ikiwemo watoto kufukuliwa katika msitu wa Shakahola...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa Wikileaks Julian Assange aachiwa huru kutoka gereza la Belmarsh nchini Uingereza ambako amekaa kwa miaka 12

    Julian Assange akipanda ndege maalum kuelekea Saipan Mwanzishi wa WikiLeaks Julian Assange ameachiwa huru usiku huu kutoka gereza la Belmarsh nchini Uingereza ambako amekaa kwa miaka 12. Bwana Assange alikuwa akikaa gerezani hapo akisubiri kupelekwa Marekani kujibu mashtaka ya ubakaji ambako...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

    Wanaukumbi. Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake. Marekani na nchi...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Wanafunzi wanufaika wa mikopo wafungue mashtaka juu ya ucheleweshwaji wa stahiki zao

    Habari za mda wanajukwaa. Moja kwa moja niende kwemye mada husika. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wanafunzi wa elimu ya juu hapa nchi kuwa wamecheleweshewa stahiki zao( fedha za kujikimu) kutoka bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Ifahamike ya kuwa hizo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwendesha mashtaka wa ICC: Niliambiwa hii Mahakama ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kama Putin.

    Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimatiafa Bwana Khan kwenye kipindi cha CNN anasena alionywa mwanzoni kabisa kwamba mahakama ya ICC ni kwa ajili ya Afrika na wahuni wengine kina Putin. Hivyo mahakama ya ICC hairuhusiwi kuwashtaki watu wa ulaya. Msikilize hapa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Israel yasikitishwa na muendesha mashtaka wa ICC

    Waziri Mkuu Bibi, katika kauli thabiti na pasipokupepesa macho ametoka hadharani kulaani kile alichokiita makosa makubwa ya Muendesha Mashtaka wa ICC. Netanyahu anasema Israel itajilinda na Israel hii ya leo si ile ya enzi za Manazi wa Ujerumani. My take: Je, Muendesha Mashtaka wa ICC amechoka...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya Tanzania, mdoli hautembei, haujui Kiswahili wala lugha yoyote. Waliohusika kuununua washikwe wafunguliwe...
  10. Abou Shaymaa

    JamiiForums Tanzania Nataka Kufungua Mashtaka dhidi ya Tanesco kwa hasara waliyonisababishia

    Wakuu natafuta wanasheria mzuri anaeijua kazi yake, ili tufungue kesi dhidi ya shirika la umma TANESCO, kutokana na hasara walionisababishia kwenye biashara yangu ya bucha la samaki wabichi, walikata umeme toka jana asubuh tarehe 14 bila taarifa na hawakurudisha hada saa 2 usiku tena dakika 5 tu...
  11. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi

    Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi Ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma wa Msumbiji imemtaja mwanamke Mtanzania miongoni mwa watu 16 walioshitakiwa kwa tuhuma za kuunga mkono harakati za wanamgambo kaskazini mwa Mkoa wa Cabo Delgado, shirika la habari la...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waendesha mashtaka wataka Dani Alves aongezewe miaka zaidi jela

    Waendesha Mashtaka wa Hispania waliosimamia kesi dhidi ya Beki wa zamani wa Barcelona, Dani Alves wamedai kifungo cha miaka Minne na Nusu jela alichohukumiwa Mwasoka huyo kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono ni kidogo na kuwa anastahili kuongezewa miaka ya kuendelea kubaki jela. Wanatarajia...
  13. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

    Wanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda. Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuifungulia mashtaka Serikali ya African Kusini kwa mauaji na ubaguzi wa rangi uliokithiri kwa wageni

    Habari wanajamvi. Kama kichwa Cha habari kinavyotanabaisha. Nikiwa Kama mtanzania mpenda haki na ambaye nachukia ubaguzi wa rangi na mauaji ya watu wengine Tena wasiokuwa na hatia, ninafikiria kufungua kesi mahakama ya kimataifa dhidi ya Serikali ya Afrika Kusini kwa kuwa ama makusudi/...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Joseph Pande Afariki Dunia, Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi

    Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan "Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Charges Militia Chief Over Tourist Murders

    Ugandan prosecutors on Monday charged the commander of a feared militia with terrorism and murder over the killing of two foreign tourists and their driver last month. A commander in the Allied Democratic Forces (ADF) militia, Abdul Rashid Kyoto, alias Njovu, was captured earlier this month...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watumishi 11 wa Manispaa ya Kigoma akiwemo Mkurugenzi wa Igunga wapandishwa kizimbani na kusomewa Mashtaka 11

    Jumla ya watu 11 wakiwemo watumishi saba wa manispaa ya Kigoma Ujiji na maafisa wawili wa Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wamefikishwa mahakamani katika mahakama ya hakimu mkazi Kigoma na kusomewa mashitaka 11 ikiwemo shitaka la uhujumu uchumi na utakatishaji fedha...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mjane wa bilionea Msuya: Miriam, Mwendesha Mashtaka walivyochuana mahakamani

    Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya, Miriam Mrita, ameingia katika hatua ya pili ya utetezi wake katika kesi ya mauaji ya wifi yake inayomkabili yeye na mwenzake, ya kuhojiwa maswali ya dodoso. Bilionea Msuya aliuawa kwa...
  19. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule jamaa anaepeleka mashtaka fifa ?

    Yule jamaa baada ya kichapo cha kimwiko mwiko kumnasia nyuma mbele mwiko sijaona akiandika barua mashatka kuhusu upangaji matokeo?
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baba kizimbani kwa mashtaka ya kumnajisi mwanawe wa kumzaa mwenye miaka 14

    MKAZI wa Mtaa wa Nyabubele Kata ya Kasamwa Kukailwa (40), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita kwa mashtaka ya kunajisi mwanawe - msichana mwenye miaka 14. Alipandishwa kizimbani jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Johari Ki uwile na aliposomewa mashtaka, alikana kuhusika...
Back
Top Bottom