Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
Let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kampuni ya Apple imeifungulia mashtaka kampuni ya nchini Israel ya NSO iliyotengeneza programu ya Pegasus kwa madai ya kuathiri watumiaji wa vifaa na huduma zake.
Mashtaka ya Apple dhidi ya NSO yanakuja wakati kampuni hiyo ikikabiliwa na msukosuko wa madai kuwa maelfu ya wanaharakati, waandishi...
Kwa hakika tangu kesi nzito hii kwa jina imeanza, ushahidi wa kuendana nayo umeshindikana kutolewa.
Bila shaka kwa upande wa mashtaka, ushahidi wa Luteni Urio ulikuwa ndiyo wa muhimu zaidi.
Lakini kama ni hawa kina Mahita, Kaaya, Wauza mbege, Kingai au yule jamaa wa Tigo, labda ilikuwa muda...
Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami.
=======
Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
Shahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:
1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.
Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia...
Ilionekana hivyo katika hukumu ya Jaji Siyani.
Imeonekana hivyo TBC Habari jana 20:00 ambapo maelezo ya Kingai yalisomwa kama vile ni ungamo alilofanya Mh. Mbowe mahakamani Jana.
Magazeti nayo ni kama lilivyo hapo.
Kingai huyu huyu?
1. Aliyekuja na watuhumiwa kutokea Moshi - Msata -...
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Uamuzi huo ambao utatolewa na Jaji Mustapha Siyani (Jaji Kiongozi...
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka...
Serikali ya Uganda imeifuta kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa chama cha upinzani Kizza Besigye, ambaye alikuwa akipambana kumuondoa madarakani rais Yoweri Museveni ambaye ametawala kwa kipindi cha miaka 35.
Besigye, amegombea nafasi ya urais mara nne na alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya...
Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake.
=======
Jaji: ameshaingia Sasa
Kesi namba 16 Inatajwa
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi.
Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018.
Familia ya Rusesabagina...
Jana nilikuwepo Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi. Sikwenda pale kwa minajiri ya kuhudhuria kesi ya akina Mbowe. Nilikwenda kufuatilia mambo ya mwanangu anayesoma pale Law School of Tanzania. Kwakuwa nilimaliza kilichonipeleka mapema na niliwaona hata marafiki zangu wakijumuika...
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi.
Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni.
Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
Mimi nashangaa kidogo jinsi mambo yanavyokwenda dhidi ya mashtaka ya wabunge Mch. Gwajima (Kawe - CCM) na Jerry Silaa (Ukonga - CCM) ambapo mjadala unaendelea hata sasa niandikapo hoja hii...
Tayari m/kiti wa kamati ya "kuhoji" wenzake ameshasoma taarifa ya mahojiano na mapendekezo ya hatua...
Mkurugenzi wa Mashitaka ya jinai nchini l (DPP)amemfutia Mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili Mahakamani mhadhiri wa Chuo kikuu cha SAUT tawi la Arusha, Subilaga Masebo na wenzake wanne.
Akiwasilisha maombi ya kuondoa shtaka hilo, mwendesha mashtaka wa serikali Lusiana Shaban...
Mahakama ya mkoa Mwera imemhukumu Mussa Nassibu Ismail (21) ambaye ni Mwalimu wa madrasa Kiboje wilaya ya Kati, mkoa wa Kusini Unguja kutumikia miaka 80 jela na faini ya shilingi milioni 3 kwa kosa la kushindwa kujizuia matamanio yake na kumbaka na kumtorosha mtoto wa kike mwenye miaka 15...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi na kumwachia huru msanii wa vichekesho, Idris Sultani na wenzake wawili baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) akielezea mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Sultan na wenzake walikuwa wanakabiliwa na shtaka moja...
Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz"
Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.