mashtaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Trump adai anaundiwa mashtaka ili kumzuia asigombee Urais 2024

    Kauli ya Rais huyo Mstaafu inafuatia uamuzi wa Baraza la Wawakilishi linalochunguza vurugu zilizotokea kwenye majengo ya Capitol Hill kuwataka Waendesha Mashitaka wa Serikali kumfungulia kesi yenye makosa 4. Mashtaka yanayomkabili Trump ni pamoja na Kuzuia Shughuli za Bunge la Congress, Kula...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Mkurugenzi wa mashtaka DPP

    WARAKA KWA MKURUGENZI WA MASHTAKA - DPP. TAKUKURU IUNDIWE TAKUKURU-JAJI LUBUVA. Kwa muda mrefu sasa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa - PCCB wamekuwa wakitenda mambo ya ajabu na kukomoa watanzania utadhani sio raia wa nchi hii. Mwezi may 2021,Mkurugenzi wa mashtaka nchini Silvester...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Neymar afutiwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili kuhusu usajili wake

    Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo ulikiuka baadhi ya masuala ya kifedha. Katika kesi hiyo waendesha mashtaka walitaka nyota huyo ahukumiwe...
  4. Jabakeke

    JamiiForums Tanzania Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

    Tulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. Tulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake ambaye anaishi na mjomba wake, baada ya uchumi kuyumba nikamwambia mwenzangu ongea na shangazi yake mtoto...
  5. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Mason Greenwood akikuka masharti ya dhamana, akutwa na mashtaka ya jaribio la ubakaji

    Mnamo tarehe(leo) 15 Oktoba 2022, Greenwood alikamatwa kwa madai ya kukiuka masharti yake ya dhamana. Siku hiyo hiyo, alishtakiwa kwa kujaribu kubaka, kujihusisha na tabia ya kudhibiti na kulazimisha, na shambulio lililosababisha madhara halisi ya mwili. Kesi yake itaanza kusikilizwa tar 17 Oct...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Guinea: Rais wa zamani apelekwa jela kabla ya kusomewa Mashtaka

    Mawakili wa Rais wa zamani wa Guinea, Moussa Dadis Camara, wanasema amepelekwa jela kabla ya kusikilizwa kwa kesi yake ya kuhusika katika mauaji ya Halaiki ya Mwaka 2009. Rais huyo anakabiliwa na kesi kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji, ambapo watu 156 waliuawa na maelfu kujeruhiwa huku zaidi...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mfadhili Mkuu wa mauaji ya Kimbari kusomewa mashtaka The Hague Sept 29

    Felicien Kabuga mmoja kati ya watuhumiwa wakuu tafikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC, ambako ameshtakiwa kwa Mauaji ya Halaiki na Uhalifu dhidi ya Binadamu, akitajwa kufadhili uhalifu huo dhidi ya Watutsi miaka 28 iliyopita. Kabuga mwenye miaka 80 alikamatwa nchini...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

    Dkt. Joseph Mwaipola ambaye ni mtumishi wa Hospitali ya Amana Mkoani Dar es Salaam, leo Septemba 9, 2022 amefikishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matatu yakiwemo kumbaka mtoto wa miaka 17. Shitaka hilo limesikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Yusto...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule wa Kimilili akana mashtaka ya mauaji dhidi yake

    Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa, anayedaiwa kumuua kwa Risasi Brian Olunga amekanusha mashtaka hayo huku Wakili wake Nathan Tororei akiomba aachiliwe kwa dhamana Upande wa mashtaka umeomba Mahakama hiyo kumpa Barasa dhamana ya gharama kubwa kutokana na aina ya kosa analodaiwa kutenda pia...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waendesha mashtaka wapinga taarifa za upekuzi wa Trump kuwekwa wazi

    Wizara ya Sheria ya Marekani imesema kuweka wazi vielelezo vya kibali kilichotumiwa na Maafisa wa FBI kupekua nyumba ya Rais Mstaafu Donald Trump, kunaweza kusababisha madhara yasiyoweza kurekebishwa. Taarifa iliyotolewa na waendesha mashtaka Mahakamani imesema Nyaraka zilizowasilishwa zina...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Beki wa Man City akana mashtaka 7 ya ubakaji na udhalishaji kingono

    Beki wa Manchester City Benjamin Mendy amekana shitaka jingine la ubakaji. Mendy mwenye miaka 28 alishtakiwa kwa makosa saba ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na shtaka moja la kujaribu kubaka. Aliingia katika kesi ya kutokuwa na hatia katika kusikilizwa kwa kesi yake katika...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Twitter yafungua Mashtaka dhidi ya Serikali ya India

    Kampuni ya Twitter imeishtaki Serikali ya India kupinga baadhi ya maagizo ya kuzuia 'Tweets' na Akaunti mbalimbali zikiwemo za Vyama vya Siasa, ikisema kuzizuia ni ukiukwaji wa Uhuru wa Kujieleza. Mashtaka hayo yanakuja baada ya mwaka mmoja na nusu uliotajwa kuwa mgumu kwa Twitter Nchini humo...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mume wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, amekanusha mashtaka ya mauaji ya mkewe

    Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Mauaji ya Buffalo Marekani akana mashtaka dhidi yake

    PaytonGendron (18) anayeshtakiwa kwa kuua watu kumi na kujeruhi watatu katika supermarket huko Buffalo (eneo likaliwalo na watu weusi) alifikishwa mahakamani Juni 2 ambapo alikana shtaka hilo pamoja na mashtaka mengine, ambapo mwendesha mashtaka akitaja ushahidi dhidi yake kuwa mkubwa Vile...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais Cyril Ramaphosa afunguliwa mashtaka ya rushwa na utekaji nyara

    Aliyekuwa mkuu wa kijasusi nchini Afrika Kusini Arthur Fraser amemshutumu Rais Cyril Ramaphosa kwa utekaji nyara na rushwa katika kesi ambayo ameisajili kwa polisi. Amesema kesi hiyo inahusiana na madai ya jaribio la wizi wa bilioni 9,316,000,000 mnamo 2020 katika moja ya mali za Rais huyo na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Panya Road wengine 25 wapandishwa Mahakamani, wasomewa mashtaka 6

    Kundi lingine la wahalifu 25 ambao wengi wao ni Vijana maarufu kwa jina la ‘Panya Road’ waliokamatwa wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha ikiwemo mapanga. Watuhumiwa hao walifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali ifumuliwe, iondolewe jukumu walilozoea la kuahisrisha kesi hata pale ambao wanaona ushahidi umekamika

    Taifa linawatafuta akina Jaji Samata wa Leo Lakini awaonekani, tunatafuta wakina Waryoba no where to be seen. Nadhani makosa yanatokana na mfumo wa kupata majaji, mfumo wa kupandisha vyeo mahakimu na mfumo wa Mahakama kujitaftia Uhuru wake pamoja na mfumo wa kupandisha vyeo mawakili wa serikali...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Kurugenzi ya Mwendesha Mashtaka Nchini inafaa iundwe upya

    Hii ni moja ya ofisi au Taasisi nyeti Sana lakini inayoitia serikali aibu kubwa Sana. Ukiangalia kesi nyingi zinazoendeshwa na waendesha mashtaka wetu utaona yafutayo:- - nyingi serikali au jamhuri hushindwa kutokana na ushahidi mbovu. Kwa maana ya upelelezi wa kulipia lipua, au wa kubambika na...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Guinea: Rais Alpha Conde kufunguliwa Mashtaka ya mauaji, utesaji na ubakaji

    Mamlaka za Guinea zimesema zitamshtaki aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Alpha Conde (84) pamoja na Maafisa wake 27 kwa makosa mbalimbali yaliyofanyiwa akiwa Madarakani. Mbali na mauaji makosa mengine wanayotuhumiwa kufanya ni mauaji, kuwekwa kizuizini kinyume cha Sheria, utekaji nyara, utesaji na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DPP Mwakitalu: Uhalifu haulipi, Ukikamatwa na TAKUKURU tunakupa adhabu na Mali zako zinataifishwa

    MKURUGENZI wa Mashitaka nchini ( DPP), Sylvester Mwakitalu, amesema kwa sasa hakuna mwalifu atakayenufaika na mapato ambayo ameyapata kwa njia ya rushwa au uharifu, kwa maana hiyo fedha na mali zitataifishwa. Amesema Rushwa ni janga kubwa na athari zake zinaonekana katika ngazi ya taifa na...
Back
Top Bottom