mashtaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kushitakiwa kwa Mange, makosa ya uchumi, anaweza kurudishwa Tanzania kuhukumiwa na Mahakama zetu

    Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Watu 172 wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yakiwemo kuharibu mali, na unyang'anyi wa kutumia silaha

    WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA MWANZA Watu 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuharibu mali, kuchoma moto na unyang'anyi wa kutumia silaha...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu wengine 25 waongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima

    Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima. Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma. Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42. Pia soma GE2025 -...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyedhalilisha Jeshi kwa kuliweka mitaani kabla ya Uchaguzi afunguliwe mashtaka ya "kudhalilisha Jeshi" na "Uhaini"

    Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ya Tanzania na watanzania dhidi ya maadui wa nje. Mosi, ni bwege na zwazwa gani ameamuru jeshi liingie mitaani kuingilia kazi ya polisi? Pili, walishuku kuwa polisi hawana morali, hivyo, wasingetimiza wajibu wao? Tatu, kuna uoza na uzwazwa zaidi ya huu? Nne...
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Takukuru kuwafungulia Mashtaka ya Rushwa Mashahidi na Vyama Vya Mchongo

    Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima wananchi nafasi ya kufanya uchaguzi wa haki, na demokrasia. Lakini kuna matokeo yanayoonyesha Kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani Uturuki kukabiliwa na Mashtaka ya Chama kuendesha Mkutano kinyume cha Sheria

    Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki, Republican People’s Party (CHP), kinakabiliwa na mtikisiko mkubwa ambapo leo Septemba 15, 2025 Mahakama mjini Ankara inatarajiwa kuamua iwapo itabatilisha mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika mwaka 2023 kwa madai ya kasoro za kisheria. Hatua ambayo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Msumbiji, Venancio Mondlane anakabiliwa na Mashtaka Matano ya Jinai

    Nchini Mozambique, mwanasiasa wa upinzani Venancio Mondlane amefunguliwa mashtaka matano ya jinai, likiwemo la uchochezi wa ugaidi, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2024. Mondlane, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa chama tawala cha FRELIMO, anadai kuwa anashtakiwa kwa sababu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Korea Kusini imefuta rasmi Mashtaka yaliyokua yanamkabili Mwenyekiti wa Kampuni ya Samsung, Jay Y. Lee

    Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imemwondolea rasmi Jay Y. Lee, Mwenyekiti wa Samsung Electronics, mashtaka ya udanganyifu wa mahesabu na ulaghai wa hisa uliotokana na muunganiko wa kampuni mbili tanzu za Samsung mwaka 2015 uliogharimu dola bilioni 8. Uamuzi huo umetupilia mbali mashitaka yote...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya Mauaji ya mwanablogu Ojwang dhidi ya watuhumiwa 6

    Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma nchini Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya watu 6 wakiwemo maafisa wa polisi 3 wakiongozwa na mkuu wa kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi Samson Talaam kuhusiana na mauaji ya mwalimu Albert Ojwang kwenye seli za polisi Hatimaye...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Kibatala: Tumejiandaa kushughulika na Shahidi katika mashtaka ya Lissu

    Akizungumza kwaniaba ya jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu baada ya Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025, Wakili Peter Kibatala amesema kwamba walikuwa wamejipanga kwa ajili ya Shahidi ambaye ameanza kutoa ushahidi leo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Linalowatesa upande wa mashtaka muda huu ni namna ya kujitoa kwenye kesi, panya kashakula vyote ndani ya mtego ila hajui atoke vipi.

    Hadi sasa sababu nzuri za kumshtaki Lissu kwa makosa ya uhaini zinatia shaka na upande wa mashtaka wanaumiza vichwa kutafuta mashiko katika kesi hii ya kihistoria. Upande wa mashtaka walitamani kesi isikiliziwe uvunguni katika chumba cha giza bila Umma kujua kinachoendelea lakini Lissu...
  12. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanganyika wanafunguliwa mashtaka mabaya mabaya awamu ya sita?

    Heshima sana wanajamvi. Nijikite katika mada moja kwa moja. Tangu awamu ya sita ianze kuitawala Tanganyika timeshuhudia Watanganyika wakipewa kesi kubwa kubwa. Awamu ya sita inaongozwa na Mzanzibar hatujawahi kusikia au kuona akiwabambikia Wazanzibari wenzake kesi za uhaini au kesi za ugaidi...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Besigye afunguliwa Mashtaka ya Uhaini

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amefikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, huku maombi ya mawakili wake ya kutaka apelekwe hospitalini kwa matibabu yakikataliwa. Besigye (68) alionekana mahakamani Ijumaa, Februari 21, 2025, akiwa dhaifu na ameketi kwenye kiti...
  14. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Naanda mashtaka ya kumtimua Mh Lema Chamani.

    Heshima kwenu Wanajamvi, Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha. Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama. Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Waliotuhumiwa kuingilia Mifumo ya Mawasiliano wasomewa Mashtaka 195

    Washtakiwa 20 wakiwemo raia wanne wa kigeni kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na kusomewa mashtaka 195 ikihusisha kesi ya kuongoza genge la uhalifu pamoja na uhujumu uchumi, matumizi ya vifaa vya kielektroniki yaani simu box kuingilia mfumo wa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Afande Fatma kusomewa mashtaka popote alipo

    Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyamburi Tungaraja, ametupilia mbali maombi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali ombi la Afande Fatma kusomewa mashtaka popote alipo

    Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyamburi Tungaraja, ametupilia mbali maombi...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu wengine sita wajitokeza, wamuongezea Diddy mashtaka sita mapya

    Rapa na Nguli wa Muziki wa Hip Hop, Sean "Diddy" Combs ameongezewa mashtaka sita mapya yakimshutumu kwa unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Wanaume, Wanawake na Mvulana wa Miaka 16 Imeelezwa Mashtaka hayo yamefunguliwa kwa njia ya siri na Walalamikaji Jijini New York ambapo tuhuma zinahusu kubaka...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Botswana afikishwa Mahakamani kwa mashtaka ya Makosa Jinani baada ya kurejea nchini humo

    Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha. Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeiona hati ya mashtaka kwa watuhumiwa kesi ya binti wa Yombo? Kwanini haiwekwi wazi?

    Wakuu salam, Kesi ya watuhumiwa wa kesi ya Yombo imeanza kuunguruma Jumatattu baada ya watuhumiwa hao kufikishwa mahakamani. Kimtaani mtaani tunajua kilichowapeleka pale ni kumlawiti na kumbaka binti yule. Mpaka sasa sijakutana na hati ya mashtaka ya watuhumiwa hao, na hata katika kuuliza kwa...
Back
Top Bottom