Baadhi ya vipengele muhimu vya makubaliano hayo ni;
Kusitishwa kwa mapigano kwa siku 60 katika nyanja zote, ikiwemo nchini Lebanon.
Mlango bahari wa Hormuz kufunguliwa mara moja, bila Iran kutoza ada zaidi kwa meli, na usafirishaji kupitia mlango huo kurudi viwango vya awali kabla ya vita...