Dar: Marekani Kutoa $3.14 billion kusaidia sekta ya Afya

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,065
Reaction score
14,702
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.

Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma
 
Wako wapi waliokuwa wanashabikia wale wanaharakati njaa akina Tausi Likokola na Liberatus Mwang'ombe waliokuwa wanalamba viatu vya Senator Ted Cruz? Yaani Tundu aropoke ule ushuzi wake halafu muemde mlielie kwenye bunge la Marekani??
Screenshot_20260702_154425_X.jpg
 
Mabeberu ni wazuri wakisandia CCM na Serikali wakisandia Chadema basi wanaitwa wakoloni hii propaganda ni ya kitoto sana
 
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.

Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma
UHUSIANO MZURI WA NCHI NA NCHI,HAUWI SAWA NA UHUSIANO WA RASHID NA HUSSEIN,
#chagadwma eleweni hilo,mnajitahidi Tanzania ishidwe na ifungiwe lakini hamtaweza kamwe!
 
the devil is in the details, nina uhakika 100% inahusu ebola, USA hataki raia wake walioambukizwa ebola kuingia USA i.e raia wa USA walioathirika wataletwa huku afrika hivyo wanatafuta pa wakuwapeleka carriers wa ebola viruses, kenya alikuwa target namba 1 lkn mahakama ya huko ilikataa sijui wamefiia wapi na ruto lkn ug museveni aliomba mwenyewe USA kujenga makontena ya carrieres wa ebola viruses ug na tanzagiza na museveni ni dam dam hata bosi wa tanzagiza alikuwa huko juzi tuliona picha hapa jf ...
 
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.

Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma
chanzo cha Taarifa Pls
 
Back
Top Bottom