Chama cha wamiliki wa silaha/bunduki nchini Marekani wametangaza kumuunga mkono Trump Uchaguzi Mkuu

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,435
17,080
Chama cha wamiliki wa bunduki wa Marekani, National Riffle Association kimetangaza kumuunga mkono Rais Donald J. Trump au maarufu kama Tarrif Man kwenye uchaguzi mkuu ujao wa November 3, 2020

NRA wanasema mtu pekee ambae anaweza kuwahakikishia uhuru wao wa kumiliki siraha ni Trump kwani Biden yeye hana huo mpango na ana mpango wa kulifuta jeshi la polisi na kuhamasisha uovu

Wamiliki wa siraha wanasema iwapo Biden atashinda wataondolewa haki yao ya kumiliki siraha na kujilinda kwani ni haki yao kujilinda na siraha

Safi sana. Na sisi Jumuiya ya Wafanyabiashara Wazalendo wa Marekani tupo kwenye kikao hapa Washington DC kesho tunakuja na tamko la kumuunga Mkono Trump sababu kuu ni huu mbinyo anaouendeleza kwa China.
Huu mbinyo sio wa kitoto.

Kwa sasa mtu pekee anaeweza kuishughulikia China ni Trump pekee.

Wachina ni washenzi sana. Wasiposhughulikiwa vizuri wataivuruga Dunia. Angalia kwenye corona hapa wamejifanya kuficha ficha na kugharimu maisha ya watu na kuugharimu uchumi wa Dunia.
 
Koronya kama kweli aliitengeneza UCHINA basi nikielelezo tosha kama US hana lakumfanya yule mwamba...
 
NRA ni Pro Republican Party hao. Chaguzi zote za maraisi wa Marekani wao huwa wanam-endorse mgombea wa chama cha Republican. Wanadai ndio Chama pekee kinachoweza kuitetea "Second Amendment", kwa hiyo hapo kwenda na Trump hakuna jipya.
 
Safi sana. Na sisi Jumuiya ya Wafanyabiashara Wazalendo wa Marekani tupo kwenye kikao hapa Washington DC kesho tunakuja na tamko la kumuunga Mkono Trump sababu kuu ni huu mbinyo anaouendeleza kwa China.
Hicho kikao kabla hata hakijaisha naona kila sababu ya kumuunga mkono Trump amefanya mengi kwa USA ajira kwa wazawa, wigo biashara mbano takatifu kwa China , Russia kilia lia ,Iran na korea kaskazin wanjua pitio wanalopitia. Bado fedha anazoingiza kwa kuuza silaha na vifaa vya kivita kwa Saudi Arabia na mataifa ya kiarabu ,utajiri wa mafuta kutoka hizo nchi hakika huyu Ni kiranja wa dunia
 
Back
Top Bottom