Nifanye nini mke wangu arudi?

Mete

Member
May 19, 2021
42
61
Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.

Sasa tatizo lilikuja vipi

Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam.

Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.

Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu. Yaani maneno ya kujiamini sana.

Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.

Sasa jamani nisaidieni nifanye nini ili mke wangu arudi maana nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ameniganda kweli kweli.
 
Inaonekana ulipopata mualiko wa kwenda US hukumshirikisha ipasavyo mkeo, maamuzi yalikua ni yako tu pengine ni kwa ajili ya kitete cha safari, tatizo lako si kwamba lilianza baada ya wewe kufika US bali tatizo lilianza hata kabla hujaianza safari yako.

Kuna jambo unajaribu kulificha hapa, kua muwazi usaidiwe, kitendo cha mkeo kukwambia kua 'Nimekukataa ili nikuonyeshe kua Marekani sio kitu mbele yangu" kina ashiria kua uliithamini safari yako zaidi kuliko mkeo,sasa umesharudi na akili imekurudi.
 
Inaonekana ulipopata mualiko wa kwenda US hukumshirikisha ipasavyo mkeo,maamuzi yalikua ni yako tu pengine ni kwa ajili ya kitete cha safari,tatizo lako si kwamba lilianza baada ya wewe kufika US bali tatizo lilianza hata kabla hujaianza safari yako.

Kuna jambo unajaribu kulificha hapa,kua muwazi usaidiwe,kitendo cha mkeo kukwambia kua 'Nimekukataa ili nikuonyeshe kua Marekani sio kitu mbele yangu" kina ashiria kua uliithamini safari yako zaidi kuliko mkeo,sasa umesharudi na akili imekurudi.
Can you send me your Whatsap number ndugu yangu ili tuzungumze.
 
Sasa apo kwenye kumuacha ndo na jikuta siwezi kabisa

Yaani na jaribu kujifosi kumsau mpaka nime tongoza rafiki yake ime shindikana yaani
Yaani sijuwi ni tumie jia gani
Shauri yako mkuu, kitakacho kupata usije kusema wakulungwa hatuku kuambia.
 
Back
Top Bottom