Marekani leo imetangaza kuongeza vikosi vya majeshi wapatao 1,000 ili kuongeza na kuimarisha ulinzi katika uwanja wa ndege wa Kabul.
Aliekuwa rais wa serikali ya vibaraka Ashraf Ghani ambae amekimbilia Oman amedaiwa kutoroka na kiasi kikubwa cha fedha kutoka benki kuu ya Afghanistan na magari...
Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi.
Idadi hiyo ya watu inatajwa kuwa zaidi ya...
Nawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano.
Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi kwa kila namna kuficha udhaifu huu mkubwa aliouleta na kuitia aibu Marekani kwa kuachia nchi kwa...
Hivi karibuni dunia imeshangazwa baada ya kusikia Rais Ashraf Ghan wa Afghanistan amekimbia mji mkuu wa nchi hiyo Kabul, baada ya mji huo kuzingirwa na wapiganaji wa kundi la Taliban. Kukimbia Kabul kwa Rais Ghani kuna maana kuwa ni wazi kuwa kundi la Taliban sasa limetwaa madaraka ya uongozi wa...
Utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani unajiandaa kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo wa ADF na ISIS waliopo mashariki.
Balozi wa Marekani Congo DRC amesema kwa sasa vita vya Congo vitafikia ukingoni.
Hatua hiyo ya Marekani unakuja wiki moja baada ya Kenya nayo...
Marekani na washirika wake pamoja na kutumia takribani dola bilioni 89 ($89 billions) kwa kuvifundisha na kuvipa silaha vikosi vya jeshi la Afghanistan kwa takribani miaka 20 hivi, iliwachukua mwezi mmoja tuu kwa Taliban kuvi fyekelea mbali na kuvisambaratisha vikosi vya jeshi la Afghanistan...
Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita
130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan.
Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine...
Historia fupi ya alaska inaonyesha kuwa kipindi cha Urusi miaka mingi iliyopita ilikuwa sehemu ya miliki yao.
Baada mfumo mbovu wa utawala kwenye madaraka ilikuja kuuza alaska kwa Marekani na ndio mpaka leo Alaska ipo Marekani.
Miaka ya zamani kumbe watu waliuza sehemu.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo.
Ugaidi katika nchi ni jambo baya...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mwendelezo wa mivutano kati ya China na Marekani ambayo imeripotiwa mara kwa mara na vyombo vya habari. Marekani imekuwa ikitumia
ujanja wa kutumia upande wa tatu kujaribu kuiyumbisha China au kuingilia mambo ya ndani ya China, na China imekuwa ikifichua...
Kutokana na kuwepo Kirusi cha Delta kinachosambaa kwa kasi zaidi, Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) imeidhinisha utoaji wa Chanjo za ziada za Pfizer na Moderna kwa watu ambao kinga yao ya mwili imeathiriwa.
Mbali na Marekani, Nchi nyingine ambazo zimepanga kutoa au zimeshatoa dozi ya tatu ya...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika.
CDC imesema inatambua kauli kuhusu uzazi ambazo zimekuwa zikisambaa, lakini maneno hayo hayana ushahidi...
Taasisi ya Chakula na Dawa ama FDA ambayo ndio huithinisha matumizi ya madawa kwa binadamu nchini Marekani inatarajia kuidhinisha matumizi ya dozi ya pili ya chanjo ama booster vaccine shots (kwa waliopata Chanjo ya Johnson and Johnson) ama ya tatu kwa waliopata chanjo nyingine kama Moderna ama...
Hivi karibuni, maandamano ya kupinga serikali yalitokea nchini Cuba. Wakati jamii ya kimataifa ilipotia wasiwasi na kuwa tayari kutoa msaada, Marekani nayo ilitumia maandamano hayo kama ni fursa. Rais Joe Biden alisema, “Marekani iko pamoja na watu wa Cuba”, na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya...
Inaitwa Afghanistan the graveyard of Empires
USSR walikuwepo miaka ya 80 wakashindwa na Mujahdeen (wakisaidiwa na USA)
Taliban wakaingia mwishoni mwa miaka ya 90 ikawa rasmi sasa ni Unstable, Rogue state, safe heaven for radical, extremist terror group kama Alqaeda wakajitanua mpk maeneo ya...
Wanajamvi, salaam
Naenda moja kwa moja kwenye point
Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
Gavana wa Jiji la New York, Andrew Cuomo, ametangaza kujiuzulu ndani ya siku 14 baada ya Uchunguzi kubaini aliwanyanyasa kijinsia Wanawake kadhaa
Wanademocrat wenzake akiwemo Rais Joe Biden wamekuwa wakishinikiza Cuomo aachie madaraka. Gavana Kathy Hachul atachukua nafasi yake na kuwa Mwanamke...
Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu.
Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei ni mshindani wa android.
Mpaka sasa Huawei imetangaza Hasara ya Pauni za Uingereza bilioni 35, Sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.