Marekani yataka uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa wazi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Marekani imelitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhakikisha awamu inayofuata katika Uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona inazingatia uwazi.

Imesema awamu ya pili ya Utafiti huo lazima uzinduliwe ukizingatia uwazi, misingi ya kisayansi na vilevile uwape Wataalamu wa Kimataifa Uhuru wa kutathmini chanzo ya Ugonjwa huo ambao umeathiri watu zaidi ya Milioni 167 ulimwenguni.

CoronaVirus iliripotiwa Wuhan kwa mara ya kwanza na hadi sasa imegharimu maisha ya watu Milioni 3.4 duniani.
=====

The US health secretary has urged the World Health Organization to ensure the next phase of investigation into Covid-19's origins is "transparent".

Speaking to a ministerial-level WHO meeting, Xavier Becerra said international experts should be allowed to evaluate the source of coronavirus.

US media reports suggest growing evidence the virus could have emerged from a laboratory in China.

Covid-19 was first detected in 2019 in Wuhan, in central Hubei province.

Since then, more than 167 million cases and 3.4 million deaths have been reported worldwide.

In March this year, the WHO issued a report written jointly with Chinese scientists on the origins of Covid-19, saying the chances of it having started in a lab were "extremely unlikely". The WHO acknowledged further study was needed.

But questions have persisted and reports attributed to US intelligence sources say three members of the Wuhan Institute of Virology were admitted to hospital in November 2019, several weeks before China acknowledged the first case of the new disease in the community.

Beijing has angrily rejected the reports, repeatedly suggesting the virus may have come from a US laboratory instead.

Speaking to the WHO on Tuesday, US Secretary for Health and Human Services Xavier Becerra did not mention China by name. But he made it clear the US expected more rigour from the next stage of any investigation.

"The Covid-19 pandemic not only stole a year from our lives, it stole millions of lives," Mr Becerra said in an address to the World Health Assembly, a conference organised by the WHO.

He added: "Phase 2 of the Covid origins study must be launched with terms of reference that are transparent, science-based and give international experts the independence to fully assess the source of the virus and the early days of the outbreak."

The White House said on Tuesday that it expected from the WHO an "expert-driven evaluation of the pandemic's origins that is free from interference or politicisation".

Anthony Fauci, the director of the National Institute of Allergy and Infectious Diseases and US President Joe Biden's chief medical adviser, has maintained he believes the virus was passed from animals to humans, though he conceded this month he was no longer confident Covid-19 had developed naturally.

The lab leak claims were widely dismissed last year as a fringe conspiracy theory, after then-President Donald Trump said Covid-19 had originated from the Wuhan Institute of Virology. Many US media outlets described such claims as debunked or false.

On Tuesday, Mr Trump sought to take credit in an emailed statement to the New York Post. "To me it was obvious from the beginning but I was badly criticised, as usual," he said. "Now they are all saying: 'He was right.'"

Source: BBC
 
Wachina watakuja kuiangamiza dunia siku moja. Sio watu hawa
Tumechoshwa kusikia propaganda za kitoto za utawala wa Amerika - masaa yote wanakula njama za kuiangusha kiuchumi Uchina, hawana ajenda nyingine zaidi ya kuchochea vurugu ndani ya Taifa la Uchina, wanatumia taasisi za kujasusi ku-fund vikundi vya NGOs, wanasingizia utawala wa China kuhusu ukiukwaji wa eti "haki za binadamu", lakini Askari Polisi wa Kimerikani kupiga risasi ovyo na kuwafunga watu weusi bila sababu huko Merikani hiyo hawaisemi - wapo kimya kabisa!! Saudi Arabia kutojali haki za binadamu nchini mwao hilo utawala wa Amerika unalifumbia macho, Waisrael kuwaonea Wapalestina kwa kuwaua ovyo hata hilo uwezi kusikia utawala wa Amerika ukisema chochote kibaya kuhusu Israel - binafsi uchukulia utawala wa Kimerikani kwamba ni wanafiki sana na wachonganishi.

Back to the main point - USA inacho tafuta pale inataka kulazimisha mambo ili Dunia ichukulie China kwamba ndiye muhusika mkuu wa virusi vya covid-19 ili mwisho wa siku USA ijenge hoja ya Dunia kuitenga China na kila nchi iliyo athirika kwa ugonjwa wa corona idahi kufidiwa na Uchina hasara zote walizo pata wa kipindi chote tangu wakumbwe na ugonjwa, hilo ndilo lengo kuu la Merikani dhidi ya Uchina namely China ifilisiwe hisije ikahinuka tena na kuwa tishio kiuchumi na kijeshi dhidi ya Merikani - repeat, lengo kuu la USA dhidi ya Uchina ni hilo nililo taja hapo juu.

Tukija kwenye origin za virusi vya kovid-19 ni hivi: Wachina walipo choshwa na madai ya Trump kuhusu origin ya virus vya Corona walimwabia aache kutumbukiza mambo ya siasa kwenye masuala yanayo hatarisha maisha ya watu wengi Duniani, wakamwambia awaruhusu wachunguzi huru wakaguwe maabara ya Dayton huko Merikani ili kujua kitu gani kinaendelea pale,wakamkumbusha tena kuhusu ugonjwa wa kile Amerika ilicho dai ni mafua makali, ugonjwa huo ulikumba baadhi ya wajimbo ya Merikani watu wengi wakapoteza maisha - baada ya Wachina kugunduwa kwamba ugonjwa uliyo kumba jimbo la Huwan na kovid-19 ndio wana sayansi wa Kimerikani kukata shauri kuzichunguza tena maiti zilizo kufa mwaka mmoja kabla kwa kile walicho kiita ni mafua makali, wakaja gundua wagonjwa hao walikufa kutokana na ugonjwa wa kovid-19 na sio sever influenza - which means ugonjwa huu ulikuwepo USA mapema zaidi ya Uchina.

Kitu kingine kinahusu wanajeshi 350 wa Kimerikani walio kwenda huko Huwan kwenye mashindano ya wanajeshi, walikwenda huko mwezi October na hawakushinda medari hata moja, walionekana wana roam aimlessly mjini na sokoni- baada ya wanajeshi hao kurudi Merikani mwenzi miwili baadae mji wa Huwan ukakubwa na ugonjwa wa COVID-19 - Wachina wali wahi kulalamikia hilo kwamba wanajeshi wa kimerikani ndio walieneza maambukizi ya kovid huko Uchina,Trump na kundi lake walipo banwa kwa hoja hiyo walikaa kimya kabisa,badala yake wakaendeleza kampeini zao za kutaka kuichafua China, bahati nzuri WHO na viongozi wenye busara Duniani walikataa kuunga mkono madai ya Trump ya kutaka kuilahumu Uchina wholesale.
 
We naye acha propaganda na tuhuma zisizo ushahidi. Polisi hata Tanzania wanaua raia daily na hakuna polisi alishawahi kuwajibishwa. Mnaweweseka sana na marekani mnasahau hakuna watu wenye roho mbaya kama wachina. Ugonjwa umeanzia wuhan kwenye hiyo viral lab yao wewe unasema umeanzia marekani? Kama kweli virusi havikutokea kwenye hiyo lab kwa nini hawaruhusu watafiti wachunguze kwa uwazi chimbuko la covid?

Trump alishasema covid imeanzia maabara China watu wakampuuza including Biden mwenyewe. Sasa hivi hata Biden kashaanza kuona huenda china inaificha dunia ukweli. Hakuna mtu alikuwa anawatetea wachina kama Biden.

Ukweli ni kuwa wachina ni mashetani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom