Kuna haja sasa wosia wa marehemu ukataja mali za muhusika

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,400
wanabodi

Nimekaa nikawaza hili jambo, mara zote wosia wa marehemu unajikita kwenye historia ya elimu, kuoa au kuolewa na kazi ila hazitaji mafanikio ya kimsingi kwa marehemu, its high time tubadilishe hili pengine tukahimiza maendeleo ya vitu kwa jamii zetu
 
Acha ujinga wew ..naoana umepata vihela na tumali tudogo unataka jamii ikujue na itmbue kuwauna miliki hiki nakile sasa cjui unajitabiria kifo embu tubu huu upuuz ulioandikaa ...
 
Back
Top Bottom