marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Mh!! Marehemu Sheikh Yahaya Hussein enzi zake

    Huyu sheikh alisifika hapa ndani na nje ya mipaka kwa elimu na maarifa mbalimbali kuhusu nyota,unajimu, utabiri, uganga n.k. Mimi binafsi namkumbuka aliposema kuwa pale Uingereza mkuu wa majini ni Tony Blair.!!!!!!!!!!! Kwa duniani mkuu wa majini ni Queen Elizabeth(Huyu aliyefariki hivi...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania IGP Poti Wambura nimeshatoa ONYO kwa Vijiwe vya Wahalifu kuwa wakiingia 18 zangu Majina yao yataanza kuitwa Marehemu

    Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao. Haiingii Akilini Polisi wa...
  3. mrdocumentor

    JamiiForums Tanzania SoC02 Msimseme marehemu baba yenu

    Baada ya siku chache kupita toka kutokee kifo cha mzee Madodoso nimeamua kutembelea familia ya Mzee huyo ili niweze kuwafariji wafiwa na kuomboleza kwa pamoja Kwakuwa wamepoteza kichwa cha familia. Picha kutoka mtandaoni Ni wazi inafahamika kuwa familia yoyote inapopoteza kichwa cha familia...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KKKT sadaka za marehemu wapewe wafiwa baada ya ibada, mambo ya tutakuja mkirudi yafe

    Poleni sana marehemu watarajiwa mnaosoma hapa Vizuri tukaelimisha makanisa ndugu zenu wasiteseke mnapotangulia. Juzi tulikuwa msiba mmja kanisa moja kmr kumwaga mama yetu mmoja. Watu walishiriki kwa kutoa sadaka baada ya sadaka mch anasema sadaka hizi tutaleta kwa mume wa marehemu akirudi...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuzikwa kwa ibada za dini tulizonazo au kuzikwa kipagani kuna manufaa gani kwa marehemu?

    Mwezi uliopita, nilihudhuria mazishi ya rafiki yangu mmoja. Kutokana na maisha yake aliyoishi hapa duniani, alikuwa haendi jumuiya, wala kutoa michango ya huko anakoabudia. Umauti ulipomfika, kukawa na utata; kule kwenye dhehebu lake wakakataa kumzika, kwa sababu alikuwa haudhurii jumuia, wala...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Ananje: Ni ujinga watoto kugombania mali za marehemu kwasababu nao ni sehemu ya mali/mifugo yake

    Mchungaji huyu akitoa maoni yake juu ya watoto wa marehemu kugombea mali ameponda vikali. Amesema watoto ni mifugo/ mali ya marehemu hivyo hawana chao kabisa kwenye mali za marehemu. Mifugo inadai urithi wa mifugo wenzie? Amehoji mchungaji huyo Wapeni salaam watoto wa Mrema na mzee Mengi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kulifungua begi la marehemu Mama yangu

    Huenda ni kiandika haya naweza kupata faraja na comfort kutoka kwa wadao walio wahi kupitia hali kama hi (death trauma). Tarahe 13 June mwaka jana nilipoteza mama angu kipenzi, ni lipitia wakati mugumu sana kukubaliana na ukweli kama mama amefariki kweli, cijawahi kulia tangu ukibwani ila ni...
  8. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Gari ya marehemu imetelekezwa barabarani

    Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea DSM. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe. Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day...
  9. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa marehemu Erick Kisauti wawatuhumu bongo movies kufuja milioni 60 za rambirambi

    Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60. Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji Mo Dewji tafadhali Simba SC ikirejea agiza lile 'Tambiko' letu alilotuachia Marehemu Mzee 'Bamchawi' lifanyike kwa Viongozi na Wachezaji

    Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng"ambi na Wachezaji akina Mkude, Kipa Manula, Beki Kapombe na Kiungo Chama naomba kabla ya...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha Adimu za TANU Kutoka Maktaba ya Marehemu Ally Sykes

    Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes. Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini. Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province)...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Katika hili, nafikiri marehemu Ruge hakuwa mstaarabu

    Ruge Mutahaba kafanya mambo makubwa sana nchi hii. Hilo halina ubishi. Ila kuna dark side. Kitendo cha kutoka na binti aliyekuwa anamlea kimuziki, huku akizaa na mfanyakazi wa chini yake kilikuwa ni doa sana. Inaonyesha mazingira ya kuexploit watu kingono. Ingekuwa huko majuu mambo kama hayo...
  14. Gama

    JamiiForums Tanzania Canada: Njia mpya za mazishi ambapo masalia ya mwili wa marehemu hufanywa kuwa mbolea

    Huko Canada, kuna ubunifu mpya ambapo mtu anaweza kuchagua aina ya mti au maua yatakayooteshwa juu ya masalia ya mwili wake baada ya kifo. Kampuni moja imebuni makasha maalum biodegradable ambayo huwekwa masalia ya mwili baada ya kuchomwa. Pichani ni moja ya kasha la kuhifadhia majivu ya...
  15. SamuraiJack

    JamiiForums Tanzania Nimemuota marehemu

    Habari wanajukwaa? Bila kupoteza muda ngoja nirnde moja kwa moja kwenye hoja. Nimekuwa nikimuota marehemu baba yangu mkubwa mara kwa mara japo alipata kufariki 2013 (Mungu amlaze mahala pema). Japo alinilea toka udogoni kama mzazi wangu vile na kunichukulia kama mtoto wake. Nimekuwa nikimuota...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afariki katika ugomvi wa kugombea simu ya marehemu

    Mtu mmoja alieyefahamika kwa jina la Mwidini SaidI (30) Mkazi wa Kitongoji cha Kitumbini, Kata ya Kivinje Wilayani Kilwa Mkoani Lindi amefariki mara baada ya kupigwa na kitu kizito Kichwani walipokuwa wanagombea simu ya marehemu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP Mtatiro Kitinkwi amesema...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Marehemu mtarajiwa

    Hii ni bangi au pombe? Si kwa kujiamini hivi.....
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Marehemu Magufuli alinifundisha mambo mengi na dhamira yake niliielewa vizuri. Dhamira ni ileile

    Leo Rais Samia yuko mkoani Geita na ameendelea kusisitiza wembe ni uleule kama awamu iliyopita. ======= Rais Samia: Awamu iliyopita nilikuwa makamu wa Rais chini ya kaka yangu marehemu John Pombe Magufuli, alinifundisha mambo mengi sana, niliisoma dhamira yake vizuri sana jinsi ya kupeleka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Habari za ndani kabisa zinasema: 1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa 2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kinachofanya Marehemu asimwe ni Unafiki wa watu ndani ya jamii!

    Kwema Wakuu! Taikon nikifa msinionee haya, nisemeni Kwa mazuri niliyofanya, alafu nitukaneni na nipeni vidonge vyangu Kwa mabaya niliyoyatenda. Taikon Hapendi watu wanafiki wanafiki! Wachungaji na masheikhe endapo mtapewa jukumu la kutoa ibada ya mazishi yangu, ikiwa mnajua mazuri yangu...
Back
Top Bottom