Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.
Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema...
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote.
Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
Wakuu salama?
Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?
Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
VITA ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God - Mlima wa Moto, Marehemu Mchungaji Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi huku ikizidi kuwagawa watoto wake.
Taarifa za kuwepo kwa vita hii zimekuja ikiwa ni miezi kadhaa baada ya mtoto mkubwa wa kiume wa Marehemu...
Wakuu Kwema.
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye sherehe ya Harusi ambayo maharusi ni wanachama wa CHADEMA na CCM.
MC akaitisha challenge baina ya CCM na CHADEMA kulingana na maharusi.
Waliaanza CHADEMA, ikapigwa nyimbo mbili za CHADEMA. Wala hazikuwa na amshaamsha licha ya wafuasi na wanachama wa...
Kiukweli kifo cha mtu wa karibu huwa kinauma sana kwa wafiwa kitu kinachotupelekea hata wanaume wazima kujifungia vyumbani kulia machozi hadi kamasi kwa maumivu jinsi yalivyo.
Tukiachana na upande wa maumivu, kuna muda unakuta marehemu katika maisha yake alikuwa na matatizo yaliyomtesa sana...
Tarehe 23/1/2022 majira ya saa 1 usiku kuna kijana wa bodaboda aligongwa na Isuzu Tipper barabara kuu ya Moshi Dsm eneo la Mwembeni na kufariki papo hapo.
Marehemu alijeruhiwa kichwani na kumwaga ubongo wote barabarani. Mpaka leo 26/1/2022 bado kuna masalia mengi ya ubongo na nywele za...
Hata wa upinzani nao walikuwa hali moja sawa na waliokuwa Serikalini, wengine walikimbia nchi.
Ni lini CCM watakiri kuwa Marehemu Magufuli aligeuka na kuwa Dicteta kiasi ya wengine wakiwa nje ya nchi kumwita ni Dikteta uchwara?
Kwa upande wangu nyakati za kabla yake wengi tuliomba tupate...
Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo...
Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma habari kwenye tovuti ya The citizen kuhusu huyu mzee Njonjo ambaye aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Kenya kwa takriban miaka 17. Kilichonivutia hasa kuhusu habari hii ni uhusiano kati ya Mwai Kibaki na marehemu mzee Njonjo. Mwandishi anadai wazee hawa waliishi...
Wandugu juzi kati palitokea ajali pale Bunju iliyohusisha basi lilikua linatokea tegeta kwenda kanda ya kaskazini ambapo lilipofoka Boko lilitanua na kusababisha ajali ya msafara wa msiba wa aliyekuwa injinia wa TCRA Nd CHACHA ambaye mwili wake ulikuwa unapelekwa uwanja ndege ili kumpeleka...
Huwa najiuliza sana ni nguo zipi ambazo marehemu anavalishwa hususan kwa wakristo maana waislam inajulikana tayari.
Ni nguo aina ipi marehemu huvikwa ?
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.
1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?
2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?
Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa...
Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili hadi walipwe deni la matibabu. Taarifa zinadai wanafamilia wamepeleka zaidi ya nusu ya fedha na hati...
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililobeba mwili wa marehemu " funeral car"
Suluhisho ni nini?
Kufanya maombi mazito kama ni mkristo...
Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu
Kufanya tambiko Zito la...
Mara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba.
Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili
Nini hasa...
Mali za Impala na Naura Spring Hotel mkoani Arusha zitauzwa ili kulipa madeni zaidi ya TZS 1.2B ya wafanyakazi.
Mchanganuo:
Wafanyakazi wa Naura- 68
Deni- TZS milioni 180
Wafanyakazi wa Impala- 165
Deni- TZS milioni 787.5
Fedha nyingine zitalipwa mifuko ya hifadhi ya jamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.