Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi...
1. Kwamba Israel na Marekani walihitaji mapumziko uchwara ya wiki 6 kurejelewa vita baada ya Ramadhani.
2. Kwamba katika kipindi hicho waachiliwe mateka wao wote nao wataachia mamia ya wafungwa.
Mpango gani huo?
Truce maana yake vita kusimama, Israel kuondoka Gaza, kuwajibishwa kwa mvamizi...
Kwanza nataka kuongea kidogo kuhusu Putin.
Putin alikuwa na Press Conference jana. Sikuisikiza yote,lakini pale mwanzo alisema Wamarekani hawapendi compromise. Katika kilar kitu wanaleta ubabe tu. Kwa sababu wapiga kura wao wanataka kuiona serikali yao inaleta ubabe. MPAKA JAMBO BAYA LIWAFIKE...
Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya:
1. Hakikisha gari iko vizuri
2. Ukiwa unaendesha na si mzoefu wa safari ndefu ni vizuri kusafiri mchana tu
3. Waza kufika salama na si saa ngapi
4. Epuka mafuta ya vichochoroni
5. Kama kwenu mbali yaani KM...
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.
Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.
Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati...
Mpira ni moto kuliko kawaida!! Al Ahly wanahaha lakini wamekamatwa vilivyo. Huko Medeama kuna vipaji mno! Golikipa ni mzuri mno!
Kila upande umetengeneza nafasi a wazi lakini hawakuzituia vizuri!! Ni hakika haya ni mashindano ya mabingwa!
Ukilegeza unaweza kupigwa nje ndani mechi zote...
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti.
Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira...
Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa.
Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo.
Picha ni chumba kinachoweza kupangishwa na mtu asiye na familia, hiki chumba kinaweza kuwafaa hata...
Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.
Katika siku nane za mapumziko ya Siku ya Taifa la China, watu wameshuhudia ustawi wa soko, kwani mamilioni ya watu wamefanya utalii, na wateja walijaa kwenye maduka na mikahawa. Kuongezeka kwa shauku ya watumiaji kwa mara nyingine tena inaonyesha uthabiti mkubwa na uhai wa uchumi wa China, hivyo...
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.
Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
Kiongozi hupimwa kwa uwepo wa kuvumilia mishale kipindi cha shida na kipindi cha hoja za kitaifa. Rais ameona upepo wa kisiasa, ametambua uwepo wa tafsiri mbaya dhidi ya nia yake ya kutafuta wawekezaji wa bandari.
Ili kujipa muda maalum wakitafakari naamini ameamua kukaa sehemu ambayo atafanya...
Upande mmoja wa Tanzania sasa ni rasmi mwaka mpya wa Dini fulani itakuwa ni siku ya mapumziko.
Sasa basi, kama imeweza kuwa hivyo ndani ya Tanzania, kwa nini TEC na Jumuiya ya Kikristu wasidai mapumziko nao siku ya mwaka mpya wa Kikristu?!
Kanisa la Roma kwa mfano, linao mwaka mpya wa Kanisa...
Naandika kwa masikitiko makuu juu ya ubaguzi huu wa wazi wazi.
Wafanyakazi tulipumzika mei mosi, leo ni sikukuu ya wachuuzi tunapumzika, tarehe 8 August tutapumzika kwaajili ya wakulima, ni lini sisi wavuvi na wafugaji tutathaminiwa?
Hili jambo liingie kwenye Katiba mpya.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka...
Hapo awali nilidhani ukiwa na hali fulani ya maisha unaweza kuwa na furaha muda mwingi wa maisha yako. Ukweli mchungu!
Ili binadamu apate pumziko halisi kimwili na kiakili basi aishi sehemu tofauti na hii Dunia.
Haijalishi ni mtu wa hali ipi kimaisha wote tunadondokea kwenye mtumbwi mmoja...
"Kuweka rekodi", "nguvu kubwa”, "imani”... Haya ni baadhi ya maneno yaliyotumiwa sana na vyombo vya habari vya nchi mbalimbali wakati wa kuripoti mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani hapa China yaliyomalizika hivi karibuni.
Takwimu zinaonyesha kuwa wakati wa mapumziko ya siku tano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.