mapinduzi

  1. JamiiForums Tanzania Hatua ambazo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezichukua hadi sasa katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona ni kama ifuatavyo:-

    1. Serikali imezifunga skuli zote za maandalizi, msingi, sekondari, vyuo Vikuu pamoja na madrasa 2. Ndege za kutoka Italia na sehemu nyengine zenye maambukizi ya Corona zimezuiwa 3. Serikali imezuia mikusanyiko inayokutanisha watu wengi kwa wakati mmoja ikiwemo mikutano, makongamano...
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime ahamia Chama Cha Mapinduzi leo

    Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50. Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu. Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
  3. JamiiForums Tanzania Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya

    Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial...
  4. JamiiForums Tanzania Watendaji Wakuu Wa Chama Cha Mapinduzi Ziarani Mikoa Mbalimbali. Dkt Bashiru Yupo Mtwara, Humphrey Polepole Pemba

    Wadau. Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani. Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara. Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
  5. JamiiForums Tanzania Mapinduzi aliyoandaa Afande Andengenye!

    MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI! Mara alipoanza kazi kama kamishna jenerali wa jeshi la zimamoto, AFANDE ANDENGENYE, alianza rasmi kufanya kazi kisayansi na kutafiti kihusu uwezo wa jeshi letu la zimamoto kufika maeneo mbalimbali ya miji yetu na kufanya kazi ya uokoaji. Utafiti huo...
  6. JamiiForums Tanzania Kidumu Chama cha Mapinduzi

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NI BABA LAO Kama inavyofahamika na Watanzania wote, tarehe TANO ya mwezi wa PILI ya kila mwaka, Chama cha Mapinduzi (CCM) huadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Hii inatokana na kwamba Chama cha Mapinduzi kilizaliwa tarehe 05/02/1977 baada ya kuunganisha vyama viwili vya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haijashiriki sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar?

    Katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika uongozi wa Chadema ulikodi ndege ya kifahari kuelekea jijini Mwanza kushiriki maadhimisho hayo, tukawapongeza. Leo tulitegemea kuwaona jijini Zanzibar lakini tukawaona Prof Lipumba, Mzee Shibuda na wengine bila uwepo wa Mbowe wala yule mzanzibari Salumu...
  8. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

    Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe. Si kauli yangu bali ni ya mwanasiasa machachari kabisa mh Zitto ambayo kaitoa leo kupitia ujumbe wake wa twitter akimjibu JPM kuhusu kuhusika kwa TISS katika utekaji. Ni kauli nzito ambayo inahitaji mikakati mizito sana kivitendo (NEC huru, nk) ili azma...
  9. JamiiForums Tanzania Balozi Seif Ally Iddi; Leo kutakuwa na tamasha la taarabu kwa wageni waalikwa wa sherehe za mapinduzi.

    Nikwamba nimesikia vibaya ama ni halisi kile alichokisema Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally kuwa leo kutakuwa na tamasha maalumu la taarabu kwa wageni wa sherehe za mapinduzi.? Hivi limekaaje hili wakuu, ni taarabu vidole juu ama ni aina tofauti ya taarabu wakuu. Kama ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Mapinduzi uwanja wa Amani Zanzibar Rais Magufuli na Dr Shein kuhudhuria

    Sherehe hizi zitarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Azam tv, ITV nk Rais Magufuli wa JMT na Rais Shein wa Zanzibar watawaongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho hayo. Karibuni! Up dates; Viongozi wastaafu wameshaingia ukumbini wakiwemo mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Sumaye...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

    Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu. Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake Zaidi. soma: Zanzibar...
  12. JamiiForums Tanzania Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

    Kikao cha Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania cha kujadili tuhuma zinazomkabili Meya wa jiji hilo, Isaya Mwita kimesimama kwa muda baada ya jina la mjumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) kusainiwa wakati hayupo ukumbini. Kikao hicho kinafanyikia ukumbi wa Karimejee jijini...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar wanaadhimisha mapinduzi badala ya uhuru walioupata tarehe kama ya leo miaka 56 iliyopita?

    Kiini macho na kihoja kuliko vyote ndani ya nchi ya Zanzibar ni kuwa miaka 56 iliyopita tarehe kama ya leo walipata uhuru wao kutoka kwa mkoloni Muingereza. Sijui ni kutokana na mila walizowekewa na yule anayeandaliwa kuwa mwenye heri ila hawajawahi kuadhimisha siku hii. Mwezi mmoja baadaye ASP...
  14. JamiiForums Tanzania Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

    Mwaka 2014 nilipata maono ya kusoma vitabu 500 ndani ya miaka mitano. Hii ni baada ya kuanza kusoma vitabu mwaka 2012 na kuona manufaa yake kwenye maisha yangu, na hapo kuamua kuweka nguvu zaidi kwenye kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Maono hayo niliyashirikisha kwenye makala niliyoandika...
  15. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yatoa Dola Milioni 75 kutekeleza mradi utaoleta mapinduzi katika elimu ya ufundi

    Serikali ya Tanzania inatekeleza Mradi unaolenga kuleta mapinduzi katika Elimu ya Ufundi Afrika Mashariki (EASTRIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Akizungumzia mradi huo wakati wa akifungua mkutano wa pili wa Mwaka wa wadau wa Mradi huo kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  16. JamiiForums Tanzania JamiiForums imeleta mapinduzi makubwa Tanzania

    -Jukwaa hili hutoa nafasi kwa mtumiaji wake yeyote kuchapisha, mambo mbalimbali, kama vile habari, mijadala, na mafunzo mbalimbali, na hivi ndivyo ninavyolijua jukwaa hili. Aidha, jukwaa hili pamoja na kuwa ni chombo cha habari pia huweza kutumika kama sehemu ya mijadala au mafunzo mbalimbali...
  17. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla. Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa polisi hivi ndivyo walivyo wakirudi majumbani mwao wakisha tekeleza ilani ya chama cha mapinduzi

  19. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi 10 pekee Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya Serikali.

    Habari za wakati wanajamvi, Leo nimekuja kwenu na orodha ya nchi 10 Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya serikali ya aina yoyote. Nchi nyingi za kiafrika baada ya uhuru ziliangukia katika wimbi kubwa la mapinduzi ya serikali zilizoachwa na wakoloni, kwa kipindi hicho sababu kuu za...
  20. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

    Wanabodi, Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30. Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…