Uchaguzi 2020 Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime ahamia Chama Cha Mapinduzi leo

nokwenumuya

JF-Expert Member
Jun 29, 2019
810
2,850
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.

Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.

Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.

IMG-20200404-WA0041.jpg
 
Mwenyekiti wa chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.

Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.

Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
Inaonekana huko Chadema kuuwana ni jambo la kawaida kabisa......mtu anatamka tu eti " fulani alitaka kuniua"

Kwanini hukuripoti polisi?!!
 
Kwahiyo amehama CHADEMA sababu ya Heche sio Chama na siku Heche akihamia CCM itakuwaje
Shangaa hata wewe?uzuri mwenyekiti wao wa Mkoa ni muwazi sana,muda si mlefu tutamsikia akiongea kama alivyomwambia yule Naibu waziri furani kuwa alinunuliwa kama fungu la dagaa wa Mwanza ndiyo huwa wanauzwa kwa bei ya chini kuliko dagaa wote.
 
Mwenyekiti wa chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.

Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.

Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
Laana ya yule daktari wa falsafa ni kali
 
Mwenyekiti wa chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.

Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.

Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.
Hivi kumbe taarifa kwamba CDM ina wanachama mamilioni ni za kweli? Maana tangu waanze kuhama wangekuwa wachache wangeshaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale mnapozidi kumpa mtesi wenu nguvu siku mtakapojua mmekosea inakuwa too late ; mnadhani mnamkomoa mbowe ila kimsingi mnajikomoa wenyewe watanzania maana hata mama yako akipokonywa ardhi kesho na ikajengwa ofisi ya CCM hutakuwa na mtetezi endeleeni kuhamia ccm mtavuna mpandacho hata Mimi nawaunga mkono ikibidi wote nchi nzima tuhamie CCM HAKUNA shida!

Kuanzia kesho

Mbowe
Mnyika
Heche
Msigwa
Mdee
Bulaya
Matiko
SUGU
Sky eclat
Erthrocitye
Superbug

Wote sisi ni CCM.
 
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime ahamia CCM akiongozana na wanachama 50.

Kasema 2015 wakati wa kura za maoni John Heche alituma watu wakamwagia sumu.

Na mwaka jana katika uchaguzi wa kanda ya Serengeti Heche alituma watu kumuua maana alikuwa upande wa Esther Matiko.

View attachment 1408577
Tumechoka kusikia nahama CDM kwenda CCM, natokaka CCM naenda CUF, mara naenda ACT. Hii sasa sio habari ni upuuzi. Huu UMALAYA wa kisiasa fanyeni kwa SIRI maana mnajiaibisha.
 
Back
Top Bottom