mapenzi

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

    Tumekuwa tukiona mahusiano ya aina tofauti tofauti ila common yakiwa yale ambayo mwanaume wana economic muscles ila kutokana na mabadiliko ya tabia nchi sikuhizi pia kumejitokeza mahusiano mengi ambayo wanawake wana financial muscles hali iliopelekea mahusiano ambayo mke anakuwa anaziba gap...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kanisa Katoliki linawaalika Wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi ili washindi wapatikane kihalali!

    Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu. Naye Katibu wa baraza la maaskofu Dr Kitima amewaomba wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kweli wanawake wa bara hawajui mapenzi?

    Nimesikia mara kazaa kuwa wanawake wa bara wako nyuma kwenye mambo ya mapenzi. Binafsi nafikiri hili ni swali gumu kulijibu ingawa linaweza kuwa na ukweli ndani yake. Karibu ujana wangu mwingi nilikulia jijini Dar es salaam. Nikiwa jijini Dar nilipata fursa ya "kuwajua" wanawake mbalimbali...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wanawake huanza enjoy Mapenzi kuanzia kwa Mwanaume wa Tatu na kuendelea

    Utafiti huu nmeufanya kwa wanawake zaidi ya 100 wengi wanakiri hawakuwa waki enjoy mapenzi na their first boyfriends. Mpaka kuanzia wa tatu na kuendelea au wa pili. Kisaikolojia image ya tendo la siku ya kwanza hubaki kichwani na kuonesha hali ya maumivu kila wanapoingilia kimwil hujenga picha...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kitakufanya useme namshukuru Ex-girlfriend/Ex-boyfriend?

    Habari za mchana ndugu jamaa na marafiki,😊natumai mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Unajua si kila Ex anakuwa amekufanyia mabaya tu, si ndio e Ehee. Kama mlimaliza kwa ubaya basi kuna mazuri mengi yalishatangulia. Hebu tuambizane mbali na zile moments za kupiga...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Mume na Mke kushirikiana kwenye ugomvi wa ndugu wa upande mmoja ni Mapenzi au ni ukosefu tu wa maadili?.

    Unakuta Mume au Mke anahitilafiana na ndugu au hata Wazazi wake, lakini unakuta Mume au Mke bila kujali kama kosa ni la mwenza wake basi nae anaunga tela na kukosana na hao Wakwe/Shemeji zake. Hivi haiwezekani Mume au Mke kuonyesha msimamo tofauti haswa kama tatizo lililopo chanzo ni huyo...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

    "Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuumia kwenye mapenzi ni swala la uamuzi

    Nilianza mapenzi nikiwa kidato cha tatu, nilipofika kidato cha tano ndio nilikutana na changamoto, lakini sikulazimisha nilikaza nikaendelea na maisha kiasi ambacho badala ya kuumia mimi akaumia aliyeniacha Tangu hapo nilijifunza, kwamba nikiwa kwenye mapenzi nifurahie tu moment ambayo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenilevya(Love Hangover)

    Mapenzi ni kama kahawa,ladha yake ni nzuri yakiwa ya moto,lakini yakipoa ni raha na karaha.Viola, msichana mrembo mwenye mguso wa ajabu kwenye mioyo ya wanaume,anahaidi kuolewa na John Balisidya,kijana fukara mwenye mapenzi ya kweli na ahadi za kufurahisha masikioni.Wanavalishana pete ya uchumba...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Kahawa huongeza hamu ya wanawake kufanya mapenzi

    Imethibitika Kahawa huwaongezea wanawake ashki ya kujamiiana..! Watafiti hivi sasa wanasema huenda wanaume wanaowategemea wanawake wanywe pombe kwanza ili iwe rahisi kwao kuwakubali, hawana haja ya kufanya hivyo. Hawana haja ya kufanya hivyo kwa sababu, imebainika kwamba, kahawa inafanya kazi...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni ujinga. Yaani ni mambo ya kustaajabisha sana

    Kwa kweli mapenzi ni upumbavu sijui kwanini yaliletwa duniani . Nimeshuhudia watu wakiteseka na kudiriki kujiua kisa tu mapenzi. Baba mkubwa huko kijijini alikuwa na mke mkubwa baadae akafariki kwahiyo ikabidi aoe mke mwengine ambaye alikuwa binti mdogo. Yule binti kazi yake ilikuwa kuwatesa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

    Hukumu imetolewa leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM Washtakiwa wameshindwa kulipa faini na hivyo wamepelekwa gerezani kuanza kutumikia adhabu yao. ===== Nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli washitakiwa wote vijana na wanategemewa, nimeona...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtihani huu wa kimapenzi umenishinda kuujibu nawaomba wabobezi wa Mapenzi mnisaidie kuujibu ili 'niufaulu' vyema sana

    Una Rafiki yako wa karibu tu na anajua kuwa una Mke na pia Mkeo naye anajua kabisa kuwa huyo Jamaa ni Rafiki yako mkubwa tu, ila ikatokea Rafiki yako wa Karibu 'akakutongozea' Mkeo na Mkeo naye pia 'akamkubalia' na 'wakafanyana' kwa raha zao. Je, ikitokea ukaja 'Kugundua' tukio hilo la 'Kuumiza'...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha mapenzi ni kuvumilia mapungufu

    Mapenzi ukitaka kuyapima basi angalia tu kuhusu mabaya kama unaweza/anaweza kuyabeba na kuyavumilia. Asili yetu binadamu tumeumbwa na mambo mazuri na kupenda mazuri,hivyo mtu akikupenda kwa mazuri tu huyo hajakupenda bali ndio asili yake tokea kuumbwa. Kuna watu wanadhani mfano mwanaume...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni pasua kichwa. Siamini

    Baada ya kunicha kwa dharau na nyodo me maisha kidogo yakawa mazuri miaka mitatu baadae nakuja kukutana na huyu bi dada maeneo fulani kweli nilimsahau hadi sura yake akanishika bega kwasababu nimpita bila kumtambua."jamani Denis ndio hunioni au unajifanyisha." dah! Nilishangaa sana nikawa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tv show na movies za HBO na HBO Max zinachochea mapenzi ya jinsia moja kwa kwenda mbele

    Habari wapenzi wa burudani nimeona nilete kwenu hii issue nimetizama movies nyingi kiasi zikiwemo za hbo huko mambo ni mazito kidogo yaani ukiwa unacheck movies zake inabidi uwe peke yako au uwe na demu wako maana sio kukaa na watoto maana unaeza aibika. Huko ni mchezo wa wanaume kwa wanaume...
  18. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya huruma...

    Hivi mtu alishawahi kutokewa na hii kitu yaani unapenda mtu kwa kumuonea huruma yaani humpendi ila huruma ila kutokana kumuonea huruma unamkubali tu?
  19. JamiiForums Tanzania Kama kufanya mapenzi kungekuwa kunatoa sauti kama za jenereta,unadhani mkoa upi watu wasingesikilizana!

    Ni swali makini Ili tukishajua tupeleke kampeni za kutumia salama(kinga).na wataamu wa afya kuangazia.asante
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

    Ukaribu unaua hisia kweli kabisa. Nadhani imewahi kukutokea hali unampenda mkaka/mdada licha ya kuwa hamfahamiani. Unajikuta unatamani kumwambia ni jinsi gani unavyompenda. Ila baada ya wewe kuonana naye. Hisia zako kwake zinaanza kupungua kabisa na unajikuta unampotezea au mnabaki kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…