Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 391
- 579
Wakuu habari za time hiii.
Nina kipengele kimoja kigumu sana, Je ulishawahi kuishi na mwanamke mjuaji? Kama ulishawahi ulitumia njia gani kuminimize kama so kumaliza kabisa tatizo.
Asanteni