Mapenzi ni kitu hatari Jamani, huyu dada hitaji lake hasa ni nini?

SHIGOTTO

Member
Sep 4, 2018
58
125
Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kutoka pwani, yaani tumekuwa katika ma love yapata miezi minne sasa lakini muda wote tumekuwa tuki kiss na kupeana maraha bila ku sex. Ijumaa iliyopita tukaenda hotelini ili kupata fargha zaidi, kufika ndani bi dada aliona ile ilikuwa surprise kwake na hakujiandaa kwa extra mile, kifupi hata kissing ilikwa mtihani.

Kwa mara ya kwanza akaniambia ana jamaa yake hivyo hayuko tayari tufanye jambo lile na angependa pale ndiyo uwe mwishao wetu, nilibebembeleza nyimbo zote lakini msimamo ukawa huo na kurasa ikafungwa. Mimi kuona hivyo nilijuwa bi dada hanihitaji basi nikaona bora nioge wakati tukisubiri msosi, mara muhudumu akatuletea chakula tulivyomaliza kula niliamua kunawa then kumuuinua bi dada tayrari kwa kuondoka, cha ajabu akaniuliza vipi huogi tena? Nikaona ngoja nifaidi gharama za chumba kwa angalau kuoga!

Nilipomaliza wakati najifuta bi dada akasimama nilipomgusa tu alitulia na tukaanza majamboz! jamaani sikiuchuka hata daki tano shughuli ika waaaaah! lakini huwezi amini nilishindwa 2nd round maana yalijia mawazo jinsi alivyo nikatalia macho makavu yaani sikuweza kabisa kurudia na ikawa tamati kwa siku hiyo!

Siku iliyofuata tukakutana kwa dinner na mambo yakawa ni vicheko tu kwa raha zetu! shughuli ikawa siku iliyofuata, tuliongea vizuri cha ajabu tulipoanza kushikana shikana bi dada akawa tena macho makavu na kuniambia hatki tena bora tuishie hapo!

Nilikaa kimya bila kujibu chochote lakini baada ya siku kupita naona anasogelea na kuanza tena kunishika shika, jamani nilipo mgusa akavungua zip na kuanza kuchezea MIC kama kawa mpka ushindi ukapatikana. Kilichonofanya niandike uzi huu jana katika hali ya kushangazaa kabisa alinisihi sana tuonane maeneo yetu around saa kumi na moja unusu jioni, nilikaa mpaka saa kumi na mbili kisha akanitumia sms kuwa yeye ameshaondoka kwani kuna sehemu anaenda!

Naomba ushauri kwenu hivi huyu bu dada hitaji lake hasa ni nini? tuchangie kwa uhuru kabisa kwa feelings zozote uonazo zinafaaaaa
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
4,914
2,000
Sio siri wadada wanazingua sana mazee, bora uwe na sura mbaya kuliko handsome aisee alafu uwe na pesa, sio wake za watu, sio wanachuo na sio wabibi wote watakutongoza mpaka ukome, huyo bi dada ana mtu wake na hapo anacheat, mkuu ashakuelewa huyo hataki ujue kuwa yeye ni mzoefu. Komaaa boss
 

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,839
2,000
Hujui Nini?
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Aliposema Awamu Ya Tano Hakuna Kupata Raha Ina Maana Hukumsikia Au Dharau!!
Sikumuelewa..Kama yeye anashida ya kupata Raha...Nasikiaga Kuna vumbi la congo....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom