Mapenzi ni shida...

SHIGOTTO

Senior Member
Sep 4, 2018
156
280
Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kutoka pwani, yaani tumekuwa katika ma love yapata miezi minne sasa lakini muda wote tumekuwa tuki kiss na kupeana maraha bila ku sex. Ijumaa iliyopita tukaenda hotelini ili kupata fargha zaidi,kufika ndani bi dada aliona ile ilikuwa surprise kwake na hakujiandaa kwa extra mile,kifupi hata kissing ilikwa mtihani.

Kwa mara ya kwanza akaniambia ana jamaa yake hivyo hayuko tayari tufanye jambo lile na angependa pale ndiyo uwe mwishao wetu, nilibebembeleza nyimbo zote lakini msimao ukawa huo na kurasa ikafungwa. Mimi kuona hivyo nilijuwa bi dada hanihitaji basi nikaona bora nioge wakati tukisubiri msosi, mara muhudumu akatuletea chakula tulivyomaliza kula niliamua kunawa then kumuuinua bi dada tayrari kwa kuondoka, cha ajabu akaniuliza vipi huogi tena?

Nikaona ngoja nifaidi gharama za chumba kwa angalau kuoga. Nilipomaliza wakati najifuta bi dada akasimama nilipomgusa tuuuu alitulia na tukaanza majamboz! jamaani sikiuchuka hata daki tano shughuli ika waaaaah! lakini huwezi amini nilishindwa 2nd round maana yalijia mawazo jinsi alivyo nikatalia macho makavu yaani sikuweza kabisa kurudia na ikawa tamati kwa siku hiyo!

Siku iliyofuata tukakutana kwa dinner na mambo yakawa ni vicheko tuuuuuu kwa raha zetu! shughuli ikawa siku iliyofuata, tuliongea vzr cha ajabu tulipoanza kushikana shikana bi dada akawa tena macho makavu na kuniambia hatki tena bora tuishie hapo.

Nilikaa kimya bila kujibu chochote lakini baada ya siku kupita naona anasogelea na kuanza tena kunishika shika, jamani nilipo mgusa akavungua zip na kuanza kuchezea MIC kama kawa mpka ushindi ukapatikana. Kilichonofanya niandike uzi huu jana katika hali ya kushangazaa kabisa alinisihi sana tuonane maeneo yetu around saa kumi na moja unusu jioni, nilikaa mpaka saa kumi na mbili kisha akanitumia sms kuwa yeye ameshaondoka kwani kuna sehemu anaenda!

Naomba ushauri kwenu hivi huyu bu dada hitaji lake hasa ni nini? tuchangie kwa uhuru kabisa kwa feelings zozote uonazo zinafaaaaa
 
Kuna watoto wa kike wana shida ya akili mi huwaita MDD (Mental Dramatic Disorder). Kenyewe kanaona ni sawa kukupa hizo mixed signals.

Mie nisivyopenda usumbufu ndio maana hao under age sidetigi nao. Nataka wapigania uhuru ambao wanaelewa mambo yanavyokwenda.

Sio demu unampeleka lodge halafu unaanza kumtongoza upya. Inatakiwa mkishafunga mlango tu akuwahi mdomoni ma turnkiss ya kutosha na mipàpaso ya pwani hadi kubwagana kwa bed. Mkija shtuka mshatiana vya kuondoa hamu.
 
Sema hivi under age kugusa kuta ni sekunde lakini hawa wapigania uhuru kuta unazitafuta kwa tochi
 
Kuna watoto wa kike wana shida ya akili mi huwaita MDD (Mental Dramatic Disorder). Kenyewe kanaona ni sawa kukupa hizo mixed signals.

Mie nisivyopenda usumbufu ndio maana hao under age sidetigi nao. Nataka wapigania uhuru ambao wanaelewa mambo yanavyokwenda.

Sio demu unampeleka lodge halafu unaanza kumtongoza upya. Inatakiwa mkishafunga mlango tu akuwahi mdomoni ma turnkiss ya kutosha na mipàpaso ya pwani hadi kubwagana kwa bed. Mkija shtuka mshatiana vya kuondoa hamu.
Wacha we
 
Umetisha dokta love
 
kwa kuwa umeshakula mzigo, futa namba yake simu alafu endelea na shuhuli zako za ujenzi wa taifa la uchumi wa chini kati.
 
Back
Top Bottom