Ewe mwanamke, tupe mkasa wako ulivyompenda mshamba wa mapenzi, ukamrahisishia lakini bado tu anahangaika

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kuna wanaume wanatokeaga kupendwa sana na wanawake lakini kwa sababu wana ushamba wa mapenzi, mwanamke anatokea kufanya shughuli kubwa mno ili kumrahishia mwanaume kazi lakini bado mwanaume huyo anakuwa hajui kinachoendelea.

Ewe mwanamke, kama uliwahi kukutana na hali hii, mwaga mkasa wako hapa
 
Back
Top Bottom