mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Mke wangu ananinyima tunda, natafuta mpenzi mtu mzima kwa mahusiano ya kujengana kimapenzi na maisha

    Habari ya leo wana jukwaa wenzangu, Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo yaani nabaki na maumivu yangu. Na ukianagalia sijawahi kuwa na mpenzi wa nje kwahyo ni jambo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye mapenzi ya kweli kwenye hili?

    Habari wapendwa na poleni kwa majukumu. Kuna jambo la kawaida kwenye maisha yetu ya kila siku nimeona si vibaya kusaidiwa kudadavua au kulijadili kwa pamoja bila upendeleo! Kwenye maisha ya mapenzi au pengine maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi sana na bila kujali tunapaswa kupambana nazo...
  3. JamiiForums Tanzania Je, wanaojiuza nao huwa wanapenda kimapenzi au moyo huo ulishakufa?

    Nauliza hivo kwasababu watu huwa wanawatumia watakavyo, yaani kama mdoli? Na wao huwa hawaoneshi kama wanapata msisimko au hisia zaidi ya kutaka umalize achukue pesa yake.
  4. JamiiForums Tanzania Vijana video za X sio njia nzuri ya kujifunzia mapenzi

    Habari JF; Leo nataka niongee na vijana wenzangu wa jinsia zote, kuhusu video za porn maarufu kama XXX. Vijana wengi wanatumia video za X kama njia ya kujifunza jinsi kufanya mapenzi na staili mbali mbali . Kwanini kijana hutakiwi kutumia video za X kama njia ya kujifunzia mapenzi? 1...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Imani inayoongozwa na mapenzi au chuki hupofusha

    Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu imani yao kwa viongozi wetu wa nchi inatawaliwa zaidi na mapenzi yao au chuki yao kuliko uhalisia. Mtu akishampenda kiongozi fulani kwasababu zake binafsi, basi kiongozi huyo hata akiwa anaboronga katika utendaji wake wa kazi, yeye ataona yuko sawa, hata akiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna haja sasa ya serikali kuingilia kati mapenzi

    Kutokana na wimbi la wanandoa kujinyonga,kujiua,kuuwa,kujeruhi wenza wao! Ni dhahiri sasa serikali iingilie kati na kuweka sheria kabla ya ndoa ni lazima wapenzi wapimwe akili na uwezo wao wa kusuhulisha mambo! Na ukionekana dishi limeyumba hutaruhusiwa kuishi na mweza yeyote na endapo...
  7. JamiiForums Tanzania Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

    Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana! Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

    Habari wana JF! Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mtu wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia naye tena
  9. JamiiForums Tanzania Matokeo yangu baada ya kuacha kufanya mapenzi na kunywa pombe kwa miezi 3

    Wakuu heshima kwenu, Kwa mara ya kwanza nimeweza kujicontroll na kuacha kufanya mapenzi na kunywa pombe kwa muda wa miezi mitatu (kuanzia January hadi Aprill mwanzoni) Nikiri kwamba nimepata nguvu za ajabu mno na uwezo wa ubongo kuchanganua mambo umeongezeka mara dufu. Nilipokuwa meza moja na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwani lazima kila mahusiano ya kimapenzi yaishie kwenye ndoa?

    Habari gani ndugu wana Jf Kama maada inavyojieleza, ninakuwa na maswali machache ambayo moja la swali ni hili..! Kwanini watu wanataka Kila mahusiano yawe au yaishie kuwa ndoa? Hapa unakuta kijana wa kiume au kike basi analalamika kaumizwa ooh kapotezewa muda. Kwani nani alisema kila mahusiano...
  11. JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma nyie!

    Hapa sijala nina siku saba!😭 Kaniita Mimi shetani halafu navuta hewa ya msaada! Nimemnasa kibao nikapiga na mtama bahati mbaya nikaanguka mimi nimekonda nimebaki robo! Baada ya kuanguka akaniuma kwenye shingo! Huyu mwanamke hana huruma kabisa akaja akanikalia tumboni kwa mara ya kwanza nikajua...
  12. JamiiForums Tanzania Munde Tambwe: Sheria itungwe kudhibiti mauaji ya mapenzi

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe ameomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka chombo hicho cha kutunga sheria kujadili ongezeko la mauaji ya wivu wa mapenzi. Mbunge huyo ameomba mwongozo huo leo Ijumaa Juni 4, 2021 mara baada ya kipindi cha maswali na majibu. Munde amesema kuna ongezeko...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupiga au kupigwa denda, hali ilikuwaje?

    Habari JF Nyie mapenzi yasikieni tu kama jinsi yalivyo,, now days bila kupiga denda yaani naona kabisa kwamba kuna kitu kizuri kimemiss. Lakini nakumbuka enzi hizo miaka ya 2000s ndio nachipukia kwa hii tasnia shughuli ya kula denda ilikuwa pevu kunilisha mate ya mwanamke ilikuwa ngumu sana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

    Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wa mawazo. Siku hizi niliachwa na mke wangu, lakini sasa kabla ya kuwa na mke wangu kuna dada fulani ambaye niliwai kumtongoza kipindi cha nyuma akanipiga chini tena kwa kunizarau kinoma. Nikaona siyo case nikaachana naye, nikatafuta maisha yangu nikaja...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya hisia kuwa kali juu yake nimeamua kumrudia

    Ndio mimi nilieleta uzi humu ya kuwa nilimuacha lkn hisia juu yake zikiwa bado ni kali sana Nilijutia kumuacha na nikaona ya nini niumie angali badonampenda!, nimemrudia na mapenzi hivi Sasa ni motomoto. Nimeamua nimkubali hivyo alivyo hisia za kumpenda huyu manzi ni kali sana kumuacha ni sawa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gospel singer Guardian Angel proposes to girlfriend

    Msanii maarufu wa nyimbo za Injili nchini Kenya Guardian Angel mwenye umri wa miaka 30, amemvalisha Pete ya uchumba mpenzi wake Esther Musila mwenye umri wa miaka 51, Bi Esther Musila ni Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa UN wa kipindi kirefu Esther Musila yupo kama Kijana tu, anafanya sana...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

    Wakuu, Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni. Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi. Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma. Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni...
  18. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutendwa kwenye mapenzi? Mimi nilifanya hivi baada ya kutendwa

  19. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kupiga stori za mapenzi na Shangazi yako?

    Habari wana jamvi! Kwangu mimi binafsi hili swala la kuweza kufunguka mahusiano ya kiundani ya madem zangu naowagonga kwa shangazi au mama mdogo ni ngumu sana. Siku za hivi karibuni nilienda kwa mshkaji wangu flani hivi tunamwitaga Mesi, anaishi nyumbani kwa shangazi yake ambae ameolewa na...
  20. JamiiForums Tanzania Mchongo Gani Umewahi Kuupoteza Kisa Umeendekeza Mapenzi?

    Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua. Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao tulikua nao chuo kimoja. Wakisaidiwa na shangazi yao anao ishi kule kwa JoelI Bideni. Mchizi nilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…