Kwani lazima kila mahusiano ya kimapenzi yaishie kwenye ndoa?

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,370
2,000
Habari gani ndugu wana Jf

Kama maada inavyojieleza, ninakuwa na maswali machache ambayo moja la swali ni hili..! Kwanini watu wanataka Kila mahusiano yawe au yaishie kuwa ndoa?

Hapa unakuta kijana wa kiume au kike basi analalamika kaumizwa ooh kapotezewa muda. Kwani nani alisema kila mahusiano lazima iwe ndoa, some of us here are dating for fun and others are dating for love hivyo yaani.

Hebu tizama hii kitu hapa chini, mdada wa kibongo bongo hawataki hii ku date kwa ajili ya upendo na sio ku expect kuolewa. Au tabia ya Uchawa ya Dada zetu ndio maana wanashindwa ku date for fun?IMG_0944.jpg


Kwa yoyote alie interested ku date for fun..! Hakuna kupangiana wala kubanana kama wafungwa wa Nje mara usifanye hivi mara hivi.
DM yangu iko wazi tuyajenge, tired of mahusiano kila siku mtu anaongelea harusi mara sijui ndoa …! Nahitaji mtu ambaye yupo interested.!

Taarifa zangu fupi
Male (Kanda ya Ziwa)
Light skinned
Middle size height
Bachelor degree holder
Medical personnel
Employed

Usije kunijaribu pls..!
 

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
13,514
2,000
Wachecki exotic Tanzania, kule Kuna kila Aina ya sample inayoendana na mahitaji yako.

Unataka mahusiano kwa siku,masaa,wiki mwezi au mwaka.

Ni wewe TU na mfuko wako jinsi unaruhusu , Wengi wanachaji kwenye 100usd@hour,

Kwaiyo Kama uchumi unaruhusu utadate kwa USD 2400 Kwa siku, ambayo ni sawa na 5,520,000Tsh

Ela hii Ni sawa kabisa na mshahara wa mwaka mzima wa mtumishi wa chini wa kada ya afya nchini TANZANIA.

Kila la heri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom