Je, hapa kuna mapenzi ya kweli?

Mete

Member
May 19, 2021
42
61
Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wa mawazo.

Siku hizi niliachwa na mke wangu, lakini sasa kabla ya kuwa na mke wangu kuna dada fulani ambaye niliwai kumtongoza kipindi cha nyuma akanipiga chini tena kwa kunizarau kinoma.

Nikaona siyo case nikaachana naye, nikatafuta maisha yangu nikaja kukutana na uyo mke wangu aliye nipiga chini nikaendelea na maisha yangu. Lakini tulivyoachana mimi nikaona siwezi kaa bachela na wakati mimi nimezoea kuwa na mke.

Nikaona acha kwanza nijaribu yule sister niliyewahi kumtongoza zamani. Nilienda demu akasema hawezi kubali mtu ambaye ana mke. Nikamuelezea hali halisi akasema mbele ya kunikubali atachunguza kwanza, akigundua ninachomuambia ni kweli ndo atanipa jibu. Na kweli akachunguza akakuta ni kweli akanikubali.

Sasa baada ya mimi kuwa naye kwenye mahusiano naona mapenzi yake yanakuja na kasi kweli kweli. Mimi sijali naye, yaani nina mpenda na huku nina mashaka naye kabisa.

Alinipa ukweli wake kabla ya kuwa naye kwenye mahusiano Aliwai kuniambia kuna kijana ambaye wako naye kwenye mahusiano kabla yangu, lakini akaniambia kuwa mimi ndo nina nafasi kubwa kwake ikiwa nitamjali na kumthaamini saana na kumuonesha mapenzi ya kweli. Lakini sasa kinachonipa wasiwasi kwake ni kuwa akiwa na shida mimi ndo anakuja kuniambia. Nikikumbuka hata mke wangu tabia hii alikuwa nayo.

Sasa ndugu zangu apo kweli kuna mapenzi ya kweli au vipi maana

Najiuliza kwa zarau zote alizonionyesha mwanzo iweje anipende kirahisi hivyo?

Au kufuata pesa tu?
 
Secondary francophone
Sasa cha msingi wewe nenda nae taratibu mkuu maana huwezi jua kwa haraka kiasi hichooo japo sijajua kuwa huwa anakuletea shida za pesa au huwa anakuomba tu ushauri. Kama ni upendo wa kweli utajua tu na kama anakuchukulia kama danga utajua tu mkuu.
 
Sasa cha msingi wewe nenda nae taratibu mkuu maana huwezi jua kwa haraka kiasi hichooo japo sijajua kuwa huwa anakuletea shida za pesa au huwa anakuomba tu ushauri. kama ni upendo wa kweli utajua tu na kama anakuchukulia kama danga utajua tu mkuu.
Pesa kweli kwao wana maisha ya chini saana sasa kuna mambo mengine Ana shindwa kununua ndo ananiomba msaada.
 
Na bado yuko na mahusiano na huyo kijana au wameachana?

Bado wapo naye na apo ndipo pana nipa mashaka kidogo

Maana kunipa chini ana nipa na mla saana

Lakini bado Ana ni ambia niki muonyesha mapenzi zaidi ndipo nita mtoa kwa yule kijana maana yule kijana ni mtu ambaye wako naye kwenye mausiano mpaka sasa ivi sababu amesha julikana kwao

Na kumuacha mpaka atafute sababu ya msingi
 
Hahahahaah mkuuu we kula fanya na mambo mengine ila usiweke akili kwa huyooo manzi siku hizi K kuliwa na watu tofauti ni kawaida tu. cha msingi FOCUS na maisha POSITIVE. kama ku mtoa kwa jamaa lazima ujee jamaa ana kuzidi kwa kipii ili wewe uwe mara mbili yake.
 
hahahahaah mkuuu we kula fanya na mambo mengine ila usiweke akili kwa huyooo manzi siku hizi K kuliwa na watu tofauti ni kawaida tu. cha msingi FOCUS na maisha POSITIVE. kama ku mtoa kwa jamaa lazima ujee jamaa ana kuzidi kwa kipii ili wewe uwe mara mbili yake.

Jamaa kanizidi weusi tu maana wote ni black skin ndo maana naona kama wana ni bagua ivi mimi ambaye Nina rangi yangu
 
Ndugu zangu nime kuja apa kuomba msahada wa mawazo

Siku izi niliachwa na mke wangu
Lakini sasa kabla ya kuwa na mke wangu
Kuna dada fulani ambaye niliwai kumtongoza kipindi cha nyuma
Aka nipiga chini tena kwa kunizarau kinoma
Una moyo mkuu,mwanamke alikukataa ukaoa,mkeo kakuacha haujashugulikia tatizo kujua wapi

Umerudi kwa aliyekuonyesha dharau,haupo serious mkuu afu chakushangaza zaidi ana mtu wake,anakazi ya kukuambia ukionyesha kumthamini ataachana na huyo kijana

Shtuka mkuu umefanywa chambo ya kuchumia pesa anaenda kutumia mwanaume mwenzio.
 
Ila na kula mzee mtoto Ana nipa chini saana
Na pesa ninayo mpa nikipiga total sio zaidi ya 20000
Mimi kinacho nipa wasiwasi kwanini ataki kuachana na yule jamaa alafu Ana ni ambie niki zidisha mapenzi kwake ndo ata ni penda kweli kweli na kutoka kwa yule jamaa
 
Wanawake wengine ukiwaomba ndogo ndiyo wanaamini unawapenda jiongeze wewe Papaa Mobimba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom