Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,043
Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!

Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati mmetoka kutatua ka ugomvi fulani hapo atajifanya kama kanuna na katabasamu kanakuja kwa mbali na huwa inajenga sana kisaikologia.

1625029266352.png
 
Huwa inatokea wiki mzima kazi yangu ni kugoma tu kila nikirudi nyumbani mara hiki mara kile.

Sasa nikiamua wiki inayofuata kukaa kimya kumwangalia tu huwa ananiuliza kwa mahaba "Baby mbona umepoa ivyo" namjibu ni kawaida em njoo hapa nampatia haki yake anaridhika.

Hawa bila kuwagomea ni kweli wanaboreka wakati mwingine.
 
Hizi ishu za kukaririshana hutuponza wengine, manaake unaweza kuingia kwenye mahusiano halafu ukaanza ku apply ushauri wa wana, haloo inakula kwako.

Manaake wanawake hawafanani wengine wapo tofauti na unavyoelezewa kuhusu wanawake, jamani women are so different aisee japo wengine tabia zao hushabiana lakini sio wato wako hivyo
 
Hizi ishu za kukaririshana hutuponza wengine, manaake unaweza kuingia kwenye mahusiano halafu ukaanza ku apply ushauri wa wana, haloo inakula kwako manaake wanawake hawafanani wengine wapo tofauti na unavyoelezewa kuhusu wanawake, jamani women are so different aisee japo wengine tabia zao hushabiana lakini sio wato wako hivyo
Sometimes Ukimboa mwanamke,
Kisaikolojia unamtengenezea attention ya kukuhitaji wewe.

Na mwanaume ili uyafurahie mahusiano,
Mwanamke anapaswa akuhitaji wewe, zaidi ya wewe unavyomhitaji yeye.
 
Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!

Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati mmetoka kutatua ka ugomvi fulani hapo atajifanya kama kanuna na katabasamu kanakuja kwa mbali na huwa inajenga sana kisaikologia
Duh! Mapenzi kama sanaa eeeh
 
Back
Top Bottom