Tungo: Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi

nentewene

Senior Member
Jun 9, 2017
144
94
Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi
Utapata mautamu, bila hata ya hirizi
Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi
Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi
Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi
Bby unanipa hamu, anakupa na pongezi
Kumbe mwana haramu, anajifanya mwanafunzi
Jaman nyie mademu, wanaume tuna kazi
Kwenye anga zenu, mnatuchuna kama mbuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom