mapenzi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nani alipona tatizo la kuota unafanya mapenzi ndotoni?

    Hizi za Aina hii zinanitesa Sana Mimi? Nifanye Nini ili ziweze kuniachia, Mara kadhaa kwa miaka kadhaa Sasa nasumbuliwa na hizi ndoto za kufanya mapenzi usingizini Mimi siangalii video za porn Mimi siongelei Mambo ya ngono Ila nashindwa kuelewa hii Hali naichukia Sana ,nifanye Nini jamani?
  2. Tman900

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Upande Mmoja/ Urafiki wa kujifaidisha kwa ngao ya mapenzi au upendo

    Kuna mfumo Fulani upo kwa Watu wa Jinsia ya Kike. Unapo mtongoza tu unakua umempa Fulsa ya Kupata Pesa/ Mali kutoka kwako Mwanaume. atataka umuaminishe Kama unampenda kupitia Pesa au Vizinga Vya Hapa na Pale. Kipindi Pesa zinatoka we bado mzigo ujapewa, unajiaminisha utapata tu, Sasa swali...
  3. Jeep wrangler

    JamiiForums Tanzania Mapenzi: Muogope sana mwanamke mweupe na mwenye makalio makubwa

    Habari za Jumapili wakuu; Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu. Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti. mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kizungumkuti

    Aliyefunguliwa biashara kaolewa na mteja, Aliyenunuliwa gari anatembea na mziba pancha, Aliyejengewa nyumba ana jiachia na mpaka rangi, Ishi na mtu kama ulivyokutana nae, Tutiane tu ila kuhongana hapana kila itu abaki na chake . Mapenzi ni mazito usijitwike kichwani utatofoa ubongo...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?

    Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo unayotakiwa uyaelewe kwenye mahusiano ya mapenzi na ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kutokana na umri wangu sio rafiki tena. Acha nifupishe. Unapoingia kwenye mahusiano ya mapenzi ambayo unataka yawe serious na au unaingia kwenye ndoa na unataka utulivu. Kuna mambo lazima uyajue na kuyaelewa. Mambo hayo ni kama ifuatavyo; 1. Hisia hubadilika...
  7. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Eti kuna maji aina ngapi kwenye mapenzi?

    Nipo Kariakoo hapa dukani. Dada mmoja maskini akaingia kununua vitu, akamwomba muuza duka maji ya kunywa. Mwenye duka akamwuliza, maji gani unataka? Pia unataka Maji ya rangi gani? Ee me ninayo maji yangu ila ya kuuza yameisha, maji nayotoa mimi bure kabisa. Sasa dada wa watu akashangaa kwani...
  8. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania KWELI Kufanya mapenzi wakati wa ujauzito Kunaweza kuongeza kwa kiasi kidogo kichocheo cha kuanzisha uchungu ikiwa siku za kujifungua zimefika

    Wakuu wa mambo tunaomba msaada hapa, huku mtaani kwetu kumekuwa na maneno mengi juu ya Kufanya mapenzi Wakati Ujauzito Kunasaidia Kupunguza maumivu, njia kufunguka kwa haraka wakati wa kujifungua na mtoto kushuka haraka wakati wa kujifungua, je kuna ukweli katika Hili?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naota nafanya mapenzi

    Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua. Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

    Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike. Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba. Asijifiche kwenye mwavuli wa kuitana wapenzi. Biashara ya ukahaba ni kongwe, tangu enzi za agano la...
  11. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mapenzi nisaidieni hapa, Maji ya shingo

    Kuna dada bhana nampenda sanaa! Tena nampenda kweliii. Wakati tunaanza kuwa pamoja nilimwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa. Mara kadhaa amekuwa akinikosea, anaendelea kuwasiliana na Ex wake wanakutana na natumiaga hekima nyingi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je, mahusiano bila kufanya mapenzi ni sawa na urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika umri wa ujana mdogo (20-25) au umri wa chuo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je dating(mahusiano) bila kufanya mapenzi ni urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu...nimekuja Leo kwenye jukwaa pendwa la mapenzi Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Valentine yako iliendaje?

    Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa? Let's go😀😀
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Naipenda Valentine Day mpaka naumwa mapenzi

    Habari, mnisamehe wapendwa nawapenda wote miamia. Yaani naipenda hii siku hadi naumwa mapenzi hapa nilipo nshapiga konyagi kubwa lao mbili nakula vibez kama zote. Ni mimi Baharia Wadiz
  16. Jugado

    JamiiForums Tanzania Kumpiga mke kunaboresha mapenzi?

    Nimeishi na mke wangu kwa miaka zaidi ya kumi na tumepata watoto. Katika miaka yote hiyo sijawahi kumpiga wife ukiacha kuzunguana hapa na pale. Sasa juzi kati alinizingua vibaya nikajikuta nimempiga kama mtoto mdogo . Nilimtia mikanda ya miguuni na kwenye matako. Kesi ilikua kubwa kichizi...
  17. Pamba Anord

    JamiiForums Tanzania Hivi unafahamu wakati mwingine mapenzi ni uraibu pia?

    - Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya. - Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa). - Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye...
  18. CotterPin

    JamiiForums Tanzania Laila, jini aliyenifundisha mapenzi nikiwa shule

    Baada ya kushindikana kwenye shule moja ya jeshi iliyo mkoani. Brother akanipa second chance nikahamia shule moja binafsi mjini Dar. Nililazimika kurudia form 3 maana mwaka uliopita nilisoma miezi minne tu, na sikufanya mitihani ya mwisho. Kama mjuavyo akija mwanafunzi mgeni darasani watu...
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Michael na Shirley Garvin, yalivyogeuka tukio la mauaji

    AMEPOTEA KISIWANI KEY WEST - 1 Umewahi kujua kwamba taa za barabarani huwekwa pia Kamera? Si kwa Tanzania, lakini katika miji mingine mikubwa taa za barabarani huwekwa Kamera ili ziweze kunakiri matukio mbalimbali na kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama. Fuatilia kisa hiki cha mwanaume mmoja...
  20. Gerald1

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli

    sisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
Back
Top Bottom