Kwa mwezi nifanye mapenzi mara ngapi?

Kwa mwezi nifanye mapenzi mara ngapi?

Baba mtakatifu91

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
3,334
Reaction score
6,896
Shikamoni wakubwa.............

.leo tena mnaobeti mpeni England uhakika.

Sasa nimekuja na swali dogo ivi kiafya nichakate mbususu mara ngapi kwa mwezi?

Nimeona nilete huu huzi maana kuna binti kwa sasa tunaenda wiki ya tatu tunakulana ila jana nilianza kuwa na hali ya kukinai, Yaani simtamani tena kumkula.

Hii inasababishwa na nini?
 
Umeeleza siyo mkeo?Wewe dobeka tu kama umetumwa na kijiji na unasumbuliwa na usongo/upwiruruko.Ukipata majukumu ya kifamilia ndiyo utajua kila ugomvi siyo wa mume/mke kutoka nje/usaliti.Nyakati zingine hukaa hadi miezi kwa pressures za maisha hadi kufikia mmoja kuomba kwa lazima.Pigaaaa...muda ni huu!
 
Kwani mliooa huwa mna Nyamwi
 
Shikamoni wakubwa..............leo tena mnaobeti mpeni England uhakika.
Sasa nimekuja na swali dogo ivi kiafya nichakate mbususu mara ngapi kwa mwezi? Nimeona nilete huu huzi maana kuna binti kwa sasa tunaenda wiki ya tatu tunakulana ila jana nilianza kuwa na hali ya kukinai, Yaani simtamani tena kumkula. Hii inasababishwa na nini?
mara mbili kwa wiki ...dogo
 
Usifanye kabisa, achana na ngono dogo

Tocar Lilo Stitch GIF by Kaydy Cain.gif
 
Back
Top Bottom