Wala nayafikilia tu mapenzi Kwa uwanda mpana na jinsi yanavyonipeleka tuNimesema vibaya?
Ukweli ni kwamba hatuna mwanaume anapenda mwanamke m baya wa sura ni ukosefu wa pesa tu bwashee"🤣Kama unajiamini kama mimi na unayo pesa , kamwe usiseme kumpata mwanamke mzuri, kunategemea tabia yake
Ukweli ni kwamba hatuna mwanaume anapenda mwanamke m baya wa sura ni ukosefu wa pesa tu bwashee
Kwangu , sio kweli bwashee naona sura ya ndoto ya kila mwanamke , ila mbaya zaidi hatoi pesa kizembe
Kama unajiamini kama mimi na unayo pesa , kamwe usiseme kumpata mwanamke mzuri, kunategemea tabia yake
Ukweli ni kwamba hatuna mwanaume anapenda mwanamke m baya wa sura ni ukosefu wa pesa tu bwashee
Mashenzi mapenzi 🤣 hivi huyu ni mdudu gani
Tunanyanyaswa babu 😂😂Wenye sura personal watakuwa na nani sasa, ndio maana wengine tukanyimwa pesa ili tuwapate hao wa kawaida kimuonekano.
Acha basiii mjukuu.Tunanyanyaswa babu 😂😂
NB mwanamke akiwa na pesa anaweza kua mzurii japo hawezi kua mrembo
Nimesema kweli au uongoo babuuAcha basiii mjukuu.