AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,213
- 20,462
Tumia KONDOMU.
Usiseme sijakwambia. Sirudii mara 2 nikipita nimepita. Vaa Condom.
Usiseme sijakwambia. Sirudii mara 2 nikipita nimepita. Vaa Condom.
Vaa condom shauri yako mambo ya kutufungulia uzi humu mnaanza kutishatisha watu tumechoka tunawaambia kabisa vaeni KONDOMU🤣🤣🤣Uzitayari
Nilitaka kusema kwamba uvae condom wewe ukinielewa hapo tu inatosha soon utaniuliza kuna homa ya uti wa mgongo una shauri wavae nini?Kuna homa ya ini pia unashauri wavae nini
Maneno bila picha ni gamblingKichwa cha uboo kikipata hitirafu kikaota vidonda visivyopona kirahisi ukijigusagusa tu kwenye boksa ndugu yangu maumivu yake sio ya hii dunia.
Nakuhimiza sana vaa Condom kijana punguza ujuaji kabla mambo hayajawa mabaya