mapenzi

  1. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladha ya kufanya mapenzi ipo wapi?

    Hivi ladha ya kufanya mapenzi ipo I wapi kwanini watu wana promote Sana? Kusema ukweli watu wanaipromote ngono kipa mara ila haina ladha wala faida yoyote au kuna namna yoyote ya kufanya mapenzi mpaka afurahie yaani unatumia nguvu ladha unaipata kwenye kumwaga Tu? Au kuna sehemu nyingine ambapo...
  2. Tundusami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke asiyetoa miguno wakati wa mapenzi ni mshamba na hajui kitu

    Raha ya mapenzi ni miguno na sauti laini kutoka kwa mwanamke , mwanamke asiyetoa miguno hajafundwa uyo na ni mshamba wa mapenzi. Uko telegram watu wananunua video za majamboz si kwamba ni nzuri sana bari zire sauti za kusisimua.
  3. Mikopo Consultant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

    Mara ya kwanza kulala na malaya ilikuwa mwaka 2014. Nikiwa nimetoka job nilikutana na mtoto wa baba mdogo (RIP), alikuwa na mshikaji wake wa chuo (Muhaya) sasa wale jamaa mi sikujua plan zao. Tukaingia mahali mitaa ya Sinza tukaanza kula msosi na kupiga story mpaka ikafika usiku. Kumbe wale...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuzidi umri ni kama kuonja sumu

    Huo ndio ukweli...najua kuna raia mtakuja kuniattack na kusema mapenzi hayana umri. shame on you!!
  5. Dr leader

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanawenyewe

    Mapenzi yanawenyewe Unaweza kuwa mwingi, wa mishanga kuijaza Ila usifike kingi, mapenzi ukayaweza Vidogo dogo ni vingi, mwandani kumliwaza Siwadharau wengine, Mapenzi yanawenyewe Unaweza kuwa fundi, kiuno kukizungusha Ila isiwe ni gundi, ya bwana kumgandisha Au ukampa hundi, na mengi...
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuja kwako, ila hatufanyi kitu 🤭

    Ushawahi kupigwa huo mkwara? ilikuwaje kuwaje na je ulipewa au ulitoa tamu? au ulitoka kapa? Acha nianze: Kitambo hicho chuo tulikua kipindi cha mitihani, kaboyfriend kakaniomba niende room kwake nimpe mbususu nikasema siwezi, na nikamtolea povu kwamba hanijali mimi nina stress za kujiandaa na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu!

    Wakuu Moyo wangu unaumia sana, naona kama unavuja damu kutokana na maumivu ninayoyapitia karibu kila siku. Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu, hakuna kinachoendelea. Nilijaribu kujidanganya, nikajifanya niko sawa, lakini moyoni...
  8. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Habari wana JF, Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika. Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi: hakutaka kugombana na mwanamke mwenzie

    Inawezekana kabisa ni video ya mchongo lakini nyuma yake imebeba uhalisia mwingi na fundisho kubwa . Mwanadada kafanya fumanizi na panga mkononi . Hakumgusa mwanamke mwenzake bali bwanaake ambaye alikula bonge la kelebu . Mdada aliyefumaniwa alitimua mbio kali Sana . Mfumaniaji kajaa utemi...
  11. youngkato

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapoteza fursa kwa kuwa wazito ktk kufanya maamuzi ya ki Biashara/ mapenzi

    Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani...
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 12 na Renata: Safari ya Mapenzi iliyofika mwisho ghafla....

    Miaka 12 ya mapenzi, visa na mikasa nikiwa na Renata Sehemu ya kwanza Wadau kwa kuwa ni mwisho wa mwaka na nimeanza likizo nikaona bora niweke bandiko langu hapa jukwaani kuhusu mahusiano yangu yaliyodumu kwa miaka 12 na mwanamke aliyeitwa Renata lakini hatukufikia kwenye ndoa. Unajua...
  14. Avith almachius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Oya, mapenzi Shikamoo

    Oya wakuu nimeachwa ata kablya Yesu hajazaliwa🙌😭😭💔 mapenzi ni ujinga
  15. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mapenzi huwa yanahitaji nini? Mtu atulie au mapenzi India bongo biashara

    Ngoja Leo niwape kisa kimoja Cha mshikaji wangu Fulani, tumuite diko. Diko ni house keeping pale hotelini, Yani watu wa usafi Kipindi na hustle huku na HUKO kutafuta riziki. Nikapata kazi ya ulinzi kwenye hoteli MOJA kubwa. Nikiwa pale hotelini sababu ya uchangamfu wangu, nilijikuta...
  16. Pakome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shutuma kutoka kwa Mzee wa Kizanzibari kuhusiana na vijana wa Kizanzibari kuzidisha anasa za mapenzi zinazovuka mipaka zina ukweli?

    Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya? Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
  17. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  18. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Zanzibar natokaje nawauliza mi natokaje, walimwengu natokaje

    SEHEMU YA KWANZA 1 Habari zenu wakuu, mi ni kijana wa kawaida niko end of twenty something najianda kuingia thirty. Katika pulukushani za maisha Dodoma na Arusha nilipata wazo la kujichanganya Zanzibar.Niliingia Zanzibar lengo ni utafutaji, sikuwa na pakufikia nilikuwa nanyoosha TU barabara...
  19. Twilumba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  20. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano JF. Nipo na huyu kijana mwezi wa pili sasa lakini naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda. Huyu jamaa yangu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele, anaweza kujitahidi siku...
Back
Top Bottom