Muendesha katapila
Member
- Jun 16, 2026
- 23
- 48
Jumapili njema wakuu, nimeenda church Leo kidogo.
Nimetoa sadaka ya laki sita baada ya kupiga diesel ⛽ za kutosha kwenye skavetaa yangu kwa ajili ya kufutiwa dhambi maana hali mbaya sana, baada ya kuachwa na Mwanamke wa ndoto yangu Khadija, nikafanya kila mbinu ya kumrudisha ila zote zimefelii, kulala makaburini,kupigwa na waganga zaidi ya ml 4 huko
Ila baya zaidi nimejikuta na kuwa teja sababu ya huyu mwanamke ili nimsahau huyu mwanamke cha ajabu sasa nimekuwa natumia 50000/= kila siku kwa ajili ya hii stimu nisipotumia napata alosto Kali sana mwili unaumaa sana nakuwa sijielewi, kabisa maymivu makali ani mpaka nitumie ndo nakuwa sawa,je nifanyaje wakuu ili niwe kama zamani