Tuagize
JF-Expert Member
- Dec 5, 2021
- 284
- 711
Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu
Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia,
Kinachoniumiza zaidi nashindwa kumsahau kabisa, japo ameshaniomba msamaha mara kadhaa na kujutia alioyafanya, lakini moyo wangu bado unaniuma sana kila nikifikiria kwanini alifanya vile
Roho ya kutaka kumsamehe inanijia lakini moyo wa kukataa nao unaniambia lakini binafsi bado kuna chembe ya mapenzi yangu juu yake 🥺
Hakika Mapenzi yameniumiza sana 🥹