Mapenzi pesa kaka, akadai si kweli

Mapenzi pesa kaka, akadai si kweli

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
2,068
Reaction score
5,021
Nilikua napita napita insta kama kawa kwenye shughuli zangu, za kila siku, nikakutana na jamaa Mmoja, kashare stori yake.

Jamaa anadai tangu 2017 hajawahi ishiwa kwenye acc yake ya bank chini ya milioni 50.

Yani NYUMBA, gari, pesa si kitu kwake Alisha tafuta akapata, ila cha kushangaza mapenzi yana mtesa kila siku, jamaa kaongea Kwa hisia sana, anateswa na mapenzi ilihali pesa ipo na ni ya kutosha kufanya fujo za mpenzi wake anae pata lakini matukio kama kawaida tu.

Hajui wanawake wanatakaga Nini?
 
Mapenzi sio pesa havina mahusiano

Lakini pesa ni tools ya kuweza ku- survive katika maisha so mapenzi yanaingia kwenye huo uhitaji wa pesa pia kwa sababu Kuna mahitaji ya msingi katika maisha yanayo paswa kufanyika na mnao date ni binaadamu so mnalazimika kuhitaji pesa ili muweze ku-survive ,

But mapenzi sio pesa , that's watu wanasema kama mapenzi ni pesa it means Kila mwenye pesa Kuna mwenye pesa zaidi yake so if mpenzi wako kichwani mwake ana hiyo tafsiri kuwa mapenzi ni pesa siku ikitokea akakutana na mwenye pesa zaidi Yako basi andika umeumia

Pia ingekuwa mapenzi ni pesa Jeff bezos Bill gates wasinge achwa na wake zao

In my life experience mpenzi Huwa hatafutwi Huwa ana kuja mwenyewe analetwa na nature na kufit katika mfumo wako shida ni kwamba watu wengi hawana uelewa wa kulitambua Hilo una weza kumpata mpenzi /Mtu sahihi lakini kwakuwa Hauna Hekima ya utambuzi unashindwa kutambua kwamba huyo ndiye mtu sahihi kwako na ukampoteza Mwisho wa siku unakutana na manyau Yanaanza kukupiga matukio then unaanza kulia Lia , Na pia upendo wa kweli Huwa haukuhitaji utumie nguvu kubwa ili upendo huo uweze ku- exist, Ukiona upo kwenye mahusiano na unaotumia nguvu kubwa ili mahusiano hayo yaweze ku- exist basi ujue bado hujapata mpenzi hapo
 
Mapenzi sio pesa havina mahusiano

Lakini pesa ni tools ya kuweza ku- survive katika maisha so mapenzi yanaingia kwenye huo uhitaji wa pesa pia kwa sababu Kuna mahitaji ya msingi katika maisha yanayo paswa kufanyika na mnao date ni binaadamu so mnalazimika kuhitaji pesa ili muweze ku-survive ,

But mapenzi sio pesa , that's watu wanasema kama mapenzi ni pesa it means Kila mwenye pesa Kuna mwenye pesa zaidi yake so if mpenzi wako kichwani mwake ana hiyo tafsiri kuwa mapenzi ni pesa siku ikitokea akakutana na mwenye pesa zaidi Yako basi andika umeumia

Pia ingekuwa mapenzi ni pesa Jeff bezos Bill gates wasinge achwa na wake zao
Well said, mapenzi sio pesa ila pesa ni muhimu sana kwenye mapenzi.
 
Wanawake huwa hawataki pesa, ni vile tu tunashindwa kuelewa, hao wanaotaka pesa ni wanaojiuza na kufanya private part zao kuwa mtaji, wanawake wanapenda vitu vitatu tuu

1. Attention
Mwanamke yeyote anapenda kuuona uwepo wake kwako, yaani ajione yeye ni muhimu, akipiga simu, akituma ujumbe, akihitaji uwepo wako upatikane.

2. Uhakika wa penzi lake na muendelezo wa uhusiano
Ukimhakikishia kuwa yeye ndio chaguo lako hakuna mwingine na yeye ndiye utafanya naye maisha hapo unakuwa umemaliza, hata hela zake kama anazo utatumia hata kama hata atajikakamua unapokuwa unapitia changamoto anakuwa upande wako

3. Huduma
Hapa sio lazima iwe pesa, wanawake wanapenda waone upendo wenye matendo zaidi hata kama huna hela, ukamnunulia chupi ya 1000 unaongeza thamani sana kwenye moyo wake mshauri, muongoze kwenye kila analofanya wanawake wanapenda sana kuongozwa kuelekezwa na kutiwa moyo na mtu anayempenda. Pale ambapo anakosea mseme au kuwa mkali kwake.

Sasa wewe tumia pesa tu, atachukua hizo na kumhonga Mwanaume mwingine
 
Nilikua napita napita insta kama kawa kwenye shughuli zangu, za kila siku, nikakutana na jamaa Mmoja, kashare stori yake.

Jamaa anadai tangu 2017 hajawahi ishiwa kwenye acc yake ya bank chini ya milioni 50.

Yani NYUMBA, gari, pesa si kitu kwake Alisha tafuta akapata, ila cha kushangaza mapenzi yana mtesa kila siku, jamaa kaongea Kwa hisia sana, anateswa na mapenzi ilihali pesa ipo na ni ya kutosha kufanya fujo za mpenzi wake anae pata lakini matukio kama kawaida tu.

Hajui wanawake wanatakaga Nini?
Kala siku nawaambia wanangu, stop SIMPING and start PIMPING. Huji kuskia PIMPS wanalia na upuuzi kama huo. Yaani una hela, nyumba na gari unakaa unalia ujinga!!!! This generation is cooked
 
Mpori bado huyo.
Wanawake wa mjini hawa huwa tunachapa tunasepa,mwanamke akikupenda mwenyewe atajisacrifice kwako
 
Back
Top Bottom